Hi guys,
Hope mmeanza weekend poa.!!
Niende kwa mada, Nina rafiki yangu wa kike alikuwa ana date mpenzi wake ambaye yupo abroad kimasomo, time passes by wakiwa wanaendelea vizuri kwa mahusiano yao wanawasiliana tu vizuri na mara kwa mara..!!
Wakiwa wanaaminiana huku kila mmoja akiahidi ku keep promise as walikuwa committed to each other..
the bad day arrived as girl alikuwa ako na ex wake yupo mkoa mwingine anafanya kazi huko, so ex akawa amerejea akamfuata binti mpaka kwao anaomba waonane japo waongee tu.!!
Hapo ndo pahala mrembo akabugi akaenda onana naye, wakazungumza vizuri huku wanakunywa wine na nafasi ya usaliti ikajitokeza hapo, Na imagine alikuwa amekaa muda mrefu bila kufanya kosa while akimsubiri mpenzi wake,
After that, akakosa gut ya kuongea vizuri na mpenzi wake maana akawa anafeel guilty, Mpenzi wake akagundua changes kwa communication yao, akawa ameforce kutaka kujua what's going down?
Binti uvumilivu ukamshinda akasema ukweli na kuomba radhi, the guy aliumia ila after a while akamuambia kuwa amemsamehe..!!
Sasa tatizo binti ana feel guilty sababu kavumilia muda mrefu kaja kuvunja jungu mlangoni, Pili haamini kama kweli the guy kamsamehe maana kamuambia amvumilie anarudi very soon waongee, ila mrembo anataka aachane naye tu kabla hata hajarudi sababu anasema kama ameweza kum cheat this time after all promises, obviously anahofia hili laweza kujirudia hata ikitokea kamsamehe anaweza muumiza tena..
Kajaribu kumuambia bora iishe ila the guy kagoma katu katu kumuacha, hivi wanaume unaweza salitiwa na mpenzi wako na ukafahamu, na ukamsamehe kwa moyo mmoja na ukawa tayari kuendelea naye bila kinyongo chochote??
We shemela weweee..... Kwa hiyo huko kutosema si kwamba mambo byee, ILA inawezekana ushafanya yako na umekula kabunyau....ahahahaaa dunia ndogoHata mimi nimemshangaa, inakuwaje anajisema hata hajaulizwa
Tena hata ikifumaniwa, singizia pombe banaa, au hata bangi... Huku ukishikilia kuwa hujagegedana.... KUKIRI JAMBO HILO KUNAGHARIMU... kila kosa utakalofanya baada ya hapo LAZIMA UTAKUMBUSHWA ULICHOKIRI HADI MWISHO WA MAISHA YAKOKosa alilofanya ni kukiri makosa.... Jamani ukichepuka na hujafumaniwa ni marufuku kukiri makosa, komaa hujafanya chochote mwanzo mwisho kitendo cha kukubali hilo ni kaburi lako umejichimbia mwenyewe...
Hapo kwa kweli aishi na huyo boyfriend wake kwa akili lolote laweza kutokea
dunia ya sasa kusalitiwa. N kawaida tu kama kusamehe pia n kawaida kikubwa uvumilivu tu ndio nauli kwenye hii safar
This is the meaning of true love
Waachane tu hamna msamaha wa dhati hapo,hata wasipoachana Sasa huko mbele wataachana tu.Hi guys,
Hope mmeanza weekend poa.!!
Niende kwa mada, Nina rafiki yangu wa kike alikuwa ana date mpenzi wake ambaye yupo abroad kimasomo, time passes by wakiwa wanaendelea vizuri kwa mahusiano yao wanawasiliana tu vizuri na mara kwa mara..!!
Wakiwa wanaaminiana huku kila mmoja akiahidi ku keep promise as walikuwa committed to each other..
the bad day arrived as girl alikuwa ako na ex wake yupo mkoa mwingine anafanya kazi huko, so ex akawa amerejea akamfuata binti mpaka kwao anaomba waonane japo waongee tu.!!
Hapo ndo pahala mrembo akabugi akaenda onana naye, wakazungumza vizuri huku wanakunywa wine na nafasi ya usaliti ikajitokeza hapo, Na imagine alikuwa amekaa muda mrefu bila kufanya kosa while akimsubiri mpenzi wake,
After that, akakosa gut ya kuongea vizuri na mpenzi wake maana akawa anafeel guilty, Mpenzi wake akagundua changes kwa communication yao, akawa ameforce kutaka kujua what's going down?
Binti uvumilivu ukamshinda akasema ukweli na kuomba radhi, the guy aliumia ila after a while akamuambia kuwa amemsamehe..!!
Sasa tatizo binti ana feel guilty sababu kavumilia muda mrefu kaja kuvunja jungu mlangoni, Pili haamini kama kweli the guy kamsamehe maana kamuambia amvumilie anarudi very soon waongee, ila mrembo anataka aachane naye tu kabla hata hajarudi sababu anasema kama ameweza kum cheat this time after all promises, obviously anahofia hili laweza kujirudia hata ikitokea kamsamehe anaweza muumiza tena..
Kajaribu kumuambia bora iishe ila the guy kagoma katu katu kumuacha, hivi wanaume unaweza salitiwa na mpenzi wako na ukafahamu, na ukamsamehe kwa moyo mmoja na ukawa tayari kuendelea naye bila kinyongo chochote??
Kama umekiri kosa mwenyewe bila mimi kufanya jitihada za kutafuta ushahidi, na nikaona nafsi inavyokusuta kwa kufanya kosa hilo, ninaweza kukusamehe na tukaendelea na mipango yetu.Hi guys,
Hope mmeanza weekend poa.!!
Niende kwa mada, Nina rafiki yangu wa kike alikuwa ana date mpenzi wake ambaye yupo abroad kimasomo, time passes by wakiwa wanaendelea vizuri kwa mahusiano yao wanawasiliana tu vizuri na mara kwa mara..!!
Wakiwa wanaaminiana huku kila mmoja akiahidi ku keep promise as walikuwa committed to each other..
the bad day arrived as girl alikuwa ako na ex wake yupo mkoa mwingine anafanya kazi huko, so ex akawa amerejea akamfuata binti mpaka kwao anaomba waonane japo waongee tu.!!
Hapo ndo pahala mrembo akabugi akaenda onana naye, wakazungumza vizuri huku wanakunywa wine na nafasi ya usaliti ikajitokeza hapo, Na imagine alikuwa amekaa muda mrefu bila kufanya kosa while akimsubiri mpenzi wake,
After that, akakosa gut ya kuongea vizuri na mpenzi wake maana akawa anafeel guilty, Mpenzi wake akagundua changes kwa communication yao, akawa ameforce kutaka kujua what's going down?
Binti uvumilivu ukamshinda akasema ukweli na kuomba radhi, the guy aliumia ila after a while akamuambia kuwa amemsamehe..!!
Sasa tatizo binti ana feel guilty sababu kavumilia muda mrefu kaja kuvunja jungu mlangoni, Pili haamini kama kweli the guy kamsamehe maana kamuambia amvumilie anarudi very soon waongee, ila mrembo anataka aachane naye tu kabla hata hajarudi sababu anasema kama ameweza kum cheat this time after all promises, obviously anahofia hili laweza kujirudia hata ikitokea kamsamehe anaweza muumiza tena..
Kajaribu kumuambia bora iishe ila the guy kagoma katu katu kumuacha, hivi wanaume unaweza salitiwa na mpenzi wako na ukafahamu, na ukamsamehe kwa moyo mmoja na ukawa tayari kuendelea naye bila kinyongo chochote??
Huoni Kama kukwambia kitu ambacho wewe ulikuwa hukijui ni dharau kubwa Sana?Kama umekiri kosa mwenyewe bila mimi kufanya jitihada za kutafuta ushahidi, na nikaona nafsi inavyokusuta kwa kufanya kosa hilo, ninaweza kukusamehe na tukaendelea na mipango yetu.
Ila kama ulifanya sex na mtu wetu wa karibu ambaye mimi na wewe tunafahamiana, hapo nitasamehe ila sitaendeleza mahusiano!
Shemela, usinichimbeWe shemela weweee..... Kwa hiyo huko kutosema si kwamba mambo byee, ILA inawezekana ushafanya yako na umekula kabunyau....ahahahaaa dunia ndogo
Shida ni kama jamaaa ni mnyonya papuchi akianza kufkiriaa kula manii za mabahariaa
Apoo msamaha atausikiaa kwa jirani
Anakuja na magunia ya Mkaa au mtungi mkubwa Sana wa gesi....Hi guys,
Hope mmeanza weekend poa.!!
Niende kwa mada, Nina rafiki yangu wa kike alikuwa ana date mpenzi wake ambaye yupo abroad kimasomo, time passes by wakiwa wanaendelea vizuri kwa mahusiano yao wanawasiliana tu vizuri na mara kwa mara..!!
Wakiwa wanaaminiana huku kila mmoja akiahidi ku keep promise as walikuwa committed to each other..
the bad day arrived as girl alikuwa ako na ex wake yupo mkoa mwingine anafanya kazi huko, so ex akawa amerejea akamfuata binti mpaka kwao anaomba waonane japo waongee tu.!!
Hapo ndo pahala mrembo akabugi akaenda onana naye, wakazungumza vizuri huku wanakunywa wine na nafasi ya usaliti ikajitokeza hapo, Na imagine alikuwa amekaa muda mrefu bila kufanya kosa while akimsubiri mpenzi wake,
After that, akakosa gut ya kuongea vizuri na mpenzi wake maana akawa anafeel guilty, Mpenzi wake akagundua changes kwa communication yao, akawa ameforce kutaka kujua what's going down?
Binti uvumilivu ukamshinda akasema ukweli na kuomba radhi, the guy aliumia ila after a while akamuambia kuwa amemsamehe..!!
Sasa tatizo binti ana feel guilty sababu kavumilia muda mrefu kaja kuvunja jungu mlangoni, Pili haamini kama kweli the guy kamsamehe maana kamuambia amvumilie anarudi very soon waongee, ila mrembo anataka aachane naye tu kabla hata hajarudi sababu anasema kama ameweza kum cheat this time after all promises, obviously anahofia hili laweza kujirudia hata ikitokea kamsamehe anaweza muumiza tena..
Kajaribu kumuambia bora iishe ila the guy kagoma katu katu kumuacha, hivi wanaume unaweza salitiwa na mpenzi wako na ukafahamu, na ukamsamehe kwa moyo mmoja na ukawa tayari kuendelea naye bila kinyongo chochote??
mwambie ampe tigoHi guys,

We mabaharia wanatupa magoli ya mbali sanaHuwa huyatoki hata akioga?
100% ✓Mwanaume ni kama jaji au hakimu, ukikiri kosa mbele yake hakumfanyi akupende zaidi, anakuchoronga miaka gerezani mbaa!
Mwanamke kataa, hata akikwambia aliyemwambia kuwa unachepuka ni mamake, mwambie na mimi nikianza kukueleza ya mamako utaachana nae? Au kwakuwa ni mimi ndio unaninyanyasa( anza kulia).
Mwanamke, kataa kuwa mkaa.
Mi na wewe shemela..!!!Shemela, usinichimbe