Hii ni ya mwaka ya kuvunja mbavu maana hata mi sitakwenda tena bichi kama mambo yenyewe ni haya maana huyo papa akidokoa tu basi hapo tena huwa hakuna cha dume la mbegu hapo tena itakubedi uwe kama Gaey tena au itakuwa kazi ya kusukuma ukuta tu ndo hayo maisha
Learning how to swim in 2 minutes. Aisee itabidi nijaribu kumtoboa macho tu...ikishindikana nikubali kuwa wakti umefika...ni muda wa kurudisha namba. Hii haina tofauti sana na kuchinjiwa baharini