Ingekuwa wewe ungefanyaje?

Kabla cjachangia toka ilo tukio litokee jamaa anashiriki tendo la ndoa na huyo mke?au maisha yao ndani ya nyumba yanaendeleaje?
 
Alikosea palepale angemuuliza mgonjwa mbona wazulura hvyo.....afu angechukua simu akampigia mkewe uko wapi...kwa dada angea na huyu....mke angeumbuka......ila kosa limefanyika ndo.leo.muulizane si anakataa tu kuwa haujakutana na dada yake labda umemfananisha....
 

Kweli umenena!
 
amsubiri akiaga siku nyengine amfate kwa nyuma akashuhudie anapoenda mkewe ila mume awe makini hata akiaga anaenda dukani pia amfuate nyuma
 
mwenyewe anajíshauri nini kabla yetu
 
Jamaa ana moyo wa subira!ningekuwa mimi tayari nishamfumua kikojoleo mapemaaa
 
Jamaa ana moyo wa subira!ningekuwa mimi tayari nishamfumua kikojoleo mapemaaa

Nadhani kitendo cha kusema bado anaumwa ana mpango baada ya siku kadhaa aombe ruhusa tena hivyo avute subira ataenda tena kuonja.
 
Hilo nalo la kuomba ushauri????? Inamaana yeye ameshindwa kuamua????
 
Atakuwa alienda kwenye biashara,aweze kuongeza kipato nyumbani
 
sasa ukifumua kikojoleo atazaa na nn wakati bado tuna mtt moja tu ndo tuna mpango wa mtt wa pili
 
Subira itakaa mbali sana na mimi kwa muda huo nitamtaiti kwa kifinyo kikali sana hadi atasema tu alipokuwa
 
Mambo mengne cyo hata ya kusimulia watu..sasa hapo ashauriwe nin?
 

wala jamaa asiogope coz mkewe alienda kwenye vikoba/vyama vya kinajmama......wajua nwdayz wanawake wanajitahidi sana kujiwezesha. mke mpambanaji huyo!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…