nilikuwa nawaza kama kungekuwa na dawa kama hii kwa ajili ya watakaokuwa wamezidiwa na hangover, , , ni mawazo tuuuu.
image: © 2o11 mtotosix
nilikuwa nawaza kama kungekuwa na dawa kama hii kwa ajili ya watakaokuwa wamezidiwa na hangover, , , ni mawazo tuuuu.
image: © 2o11 mtotosix
nashauri waongeze saizi iwe kama chupa la maji ya uhai ya lita 10teh! Kila nikiulizwa unaendeleaje, nasema bado......
nashauri waongeze saizi iwe kama chupa la maji ya uhai ya lita 10
Mkuu C6 hii sio Dawa bali ni Maradhi mtu atakayotumia atazidisha matatizo badala ya kujitibu Mkuunilikuwa nawaza kama kungekuwa na dawa kama hii kwa ajili ya watakaokuwa wamezidiwa na hangover, , , ni mawazo tuuuu.
image: © 2o11 mtotosix
Heheheee walevi wangehamia hospitali lol