Ingekuwa vipi?

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,318
4,098
1.Ingekuwa vip wanaume tusingekuwepo? Mabinti mngemvalia vimini nani? Mngemwomba hela nani na mngemwita Bae nani?

2. Ingekuwa vipi binadamu tungetembea uchi na ngono kufanya ingekuwa bila kubaniana na mkikutana na mtu yeyote hata hamjuani mnapeana..Beyonce, Rihana na Wema Sepetu wangepata hata muda wa kula kweli?

3. Ingekuwa vip iutamu wa bao ungedumu hata kwa takribani dk 5 malaya wangetusachi sana na mabinti wanaong'ata love bite si zingekuwa makovu ya kudumu?

4. Ingekuwa vipi sehemu za siri zingefungiwa mita, wanandoa wangekuwa waaminifu au wangechakachua mita kama za DAWASCO?

Tukiamua yote yanawezekana, sema mipango tu
 
ingekuwa vp kama ungekuwa na akili kama zangu..!!!
nahisi ungefuta pumba zote ulizoandika..!!!!
 
Maendeleo yangezidi sana na everything too much is harmful.

Je ingekuwa vipi kama usingeuliza hivyo?
Ningesikia kuwa naungana na mawazo ya mwenye kutoa mada.

Je ingekuwa vipi kama wanaume wote wangewaza kama mtoa mada alivyowaza?
 
Ningesikia kuwa naungana na mawazo ya mwenye kutoa mada.

Je ingekuwa vipi kama wanaume wote wangewaza kama mtoa mada alivyowaza?
Tungekuwa mwesela sasa hivi.

Je ingekuwa vipi kama tungekuwa jogoo?
 
Tungekuwa mwesela sasa hivi.

Je ingekuwa vipi kama tungekuwa jogoo?
Mngekuwa na heshima zaid maana jogoo akisharidhika huwa anatulia na si km wanadamu.

Ingekuwa vipi kama ungesapot i mada yangu hii
 
ingekuwa vp kama ungekuwa na akili kama zangu..!!!
nahisi ungefuta pumba zote ulizoandika..!!!!
Ndio ningefuta pumba zote nilizoandika ila nikaenda ku-comment kwenye pumba nyingine kama ulivyo-comment ww kwny pumba zangu..nadhani tatizo lingekuwa kubwa zaidi
 
Ingekuwa vipi Kama husingelikuwepo ukimwi wala mgonjwa ya zinaa pia tar ya mimba kujulikana kwa wote
 
Back
Top Bottom