Ingekuwa vipi(1).

Ingekuwa vipi(1).

Mb-one

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
884
Reaction score
1,296
ingekuwa vipi guest house zingewekewa cctv......
wanajamvi weka yako "ingekuwa vipi"
 
"Ingekuwa vp" nimeshaweka mkuu
 
Ingekuwa vp kama wanaume wote wangegeuka kuwa mademu?
 
ingekuwa vipi kama ma-mods wa jf wangekuwa wanaishi pale magogoni?....full ban
 
Invented vp kuua isingekuwa criminal offense, wallah msanii na cabinet yake wasingekuwepo
 
Ingekuwa vp Steve Kanumba (R.I.P) angerudi tena duniani?
 
Back
Top Bottom