The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,690
- 2,853
Wakuu;
Kwa nchi kama Marekani, ambayo imeendelea sana ki mawasiliano na demokrasia. Ule mchele uliomwagwa na Dr.Slaa ulitosha kabisa kumnyima kura za wananchi.
Kigezo cha, amecheleea, oooh Katumwa, ooh kapata wapi pesa za press conference... Hizo hoja haziwezi kuficha maovu yalioanikwa na Dr.Slaa.
Kama mtu, anaweza honga mpaka viongozi wa dini... Hii ni zaidi ya hatari.
Hayo maendeleo anayo sema kwa kweli siyaoni yakitokea Tanzania hii. Sana sana kizazi cha wapiga dili nakiona kinazidi kumea sana baada ya miaka 5.
Na mshukuru huyu Mungu aliye Mbinguni, kwa haya mafunuo tuliofunuliwa jana.
Tatizo la Tanzania sio mifumo ya vyama. Bali uroho wa madaraka na rushwa zilizo kithiri.
Sitampa kura yangu mpiga dili. INATOSHA
Magufuli ndiye rais wangu.