we kama unampenda binti
mwache aje,kaa nae,ongea nae
huyo aliekupigia huna uhakika kama kweli au la
inaweza kua hila tu,kisa labda kakataliwa,ni vema umsikie na binti!!
hahahaha, mnatabia mbaya nyie! mnataka kumpoza tu mwenzenu wakati manyoa yako nje kabisa! lol #UkionaManyoa ...Hawa vijana wa vibanda vya simu wahuni sana hawa! Yani kachukua simu ya mchumba wako akajidai kukupigia eti awachonganishe... Ali Kiba usikubali!!!
Mwali, unajua kipendacho roho wewe!??????hahahaha, mnatabia mbaya nyie! mnataka kumpoza tu mwenzenu wakati manyoa yako nje kabisa! lol #UkionaManyoa ...
Mi nilirithi kinyaa toka kwa mama na kiburi toka kwa baba.Mwali, unajua kipendacho roho wewe!??????
Mwache bana...mimi nawajua watu wa vibanda vya simu...!!!!!!
#zaKuambiwa
Duh saudari wacha banaSasa si ushukuru Mungu hata wameachana na huyo mtu wake ili na wewe upate muda wa kuwa nae.
Wewe unadhani wasingeachana ungeambulia kitu hapo?
Kuna haja ya kujua ukweli ya yote hayo na si kupitia kwenye simu,kwanza huyo mwanaume aliyekupigia simu huna uhakika kama ni kweli yote aliyokuambia ndiyo yaliyotokea,kwa kuwa uliweza kukaa nae miaka mitano basi haiwezi kukushinda siku moja yeye kuja huko na ukakaa nae na kujua mbivu na mbichi.
ebu waambie banaduh hiyo kali.......,
It hurts when someone plays with your feelings....,
ngoja aje talk to her even though the reality is seen
jaman girls na sie viruka njia
ukipata mtu anaekubeba haubebeki
mi watu kama hawa wananikeraga kweli
watu wanalilia nafasi kama hizo wengine wanazichezea
KongoshoooooooooooooooooooooooooJua likiwaka sana, akili ina_jam
Ntarudi jioni