ameshazoea kuchezea madushe ya three in one loh huko kwa sista wake hakuna umeme hadi apeleke kibandani mkuu..........mi nasikia harufu ya manyoya tu hapo kuku keshafukiwa tumboni.
inauma kama kweli mtu anakua na simu husika na alipomrejeshea nikamuuliza unamjua aliyekua na simu anang'ata ulimi na jamaa mwenyewe ni paparasi wa kituo cha radio 5 Arusha .je kama si kweli reporter huyo anaweza kuwa kwenye kibanda cha simu?
Najua mkuu kwa sasa una maswali mengi ambayo yanahitaji majibu,ukisema uachane nae kwa kuwa tu umeigiwa simu bado utaendelea kubaki na maumivu ambayo yanaweza kuja kukusababishia tatizo jingine la kutokuwa na imani kwa mwenza wako endapo utaamua kuingia katika mahusiano baada ya kuachana na huyo,pia yafaa ujue kuwa mapenzi yana changamoto zake na unayopitia wewe kwa sasa ni moja ya changamoto za mapenzi,kama kweli wewe ni muumini mzuri wa mapenzi basi utampa nafasi huyo mwenza wako ya kuzungumza nawe na utapata mengi na kujua kilichojiri.
Kiba huyo binti kama dada yake yuko Arusha lzm huyo mtu alikuwa anamfukuziaga kupitia hapo kwa dada yake lbd binti kaenda kumuaga kirafiki sasa jamaa kuona kweli ndio katolewa nje akaamua kuondoka na hiyo cm au alimtaka kimapenzi kwa nguvu binti akaamua kukimbia akaacha cm sasa lengo lake huyo jamaa anajaribu plan b ili wewe upate jazba umuache ili yeye akajisifie kwa binti kwamba hukuwa na mapenzi ya dhati kwake japo binti inaonekana nimuoga wakuongea lkn usitishike na maneno ya huyo jamaa lzm kashindwa kumcomfuse huyo kipenzi chako jrb kuongea naye polepole bila ukali iko cku atakueleza au utagundua ukweli mapenzi hayataki maamuzi ya haraka
mmh kweli inauma ila ucchukue maamuz ya haraka sn cha kufanya muite ukae uzungumze nae ictoshe jamaa kasema amemuacha co mbaya we kuendelea nae na huyo jamaa alitaka kumuharibia 2 ili wote mkose.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.