achiwalila
Member
- Dec 2, 2008
- 29
- 0
sawa nimekupata ndugu yanguPoa mshikaji yaliyopita si ndwele, Ila iwe fundisho kwako siku nyingine. Inasemwa usikaribie kishawishi, Ondoka haraka uonapo dalili. Mimi ningemstukia kuwa ataninasa mwisho wa saa hivyo nisingebaki nae kamwe sebuleni kwa kaka yake.
poa sana manNingekuwa mimi nisinge-do kwa sababu:-
1.kuvnjiana heshimabaina yako na kaka wa huyo dada.
2.ume-do dry chama (bila condomu)
3.ningeogopa kama ningefumwa ugenini nafanya hicho kitendo kingepokelewa vipi.
4. Nisinge-do kwani ku-do na mtu wako ni vyema mkawa huru bila shaka yeyote kama ulivokuwa ukienda kumpigishia kaka ake chumbani kama anawalia chabo.
sawa bana nimekusikia, maana ulivyonuishambulia utafikiri nimeua mtu au nimefanya kitendo cha ajabu hapa duniani, nimekiri kosa, basi nisameheweYou little vampire! yaani umepokelewa, umepewa pa kula na kulala bure, ofa ya kutembezwa hapa na pale bureeee na bado haukutosheka ukamla na dada yao! mi nadhani wote nyie ni washenzi tu, we msichana mdogo huyo wa kukuona kwa macho siku 2 ya tatu akakuvulia nguo!!!!! na inaelekea hata condoms hamkutumia maana kama kweli hukuwa ukijua hiyo special ni nini siamini kama ulijiandaa hata kwa kuwa na kipande cha mfuko wa rambo sikumbwambii hiyo original condom!!! hivi kweli katika hali hii ya ukimwi n.k ni muda wa kufanya hayo kweli? una elimu ya kiasi gani wewe mtu, mbona unanitia shaka hata kama uliwahil kuuona ubao mweusi mbele yako ktk maisha yako??? mh jamani kumbe elimu bado sana. next time usirudie kitendo kama hichoo maana kwa mwendo huo ukijaoa hata mkweo akija kukutembelea waweza kumlala huna maana hata kidogo! halafu eti waita mtego! umejitega mwenyewe kwa kukubali kukaa nae hadi usiku na baadae kujitia kumsugua nyayo ulitegemea nini!
sawa bana nimekusikia, maana ulivyonuishambulia utafikiri nimeua mtu au nimefanya kitendo cha ajabu hapa duniani, nimekiri kosa, basi nisamehewe
sawa kabisa mkuu, maana unakuta profesa anapelekeshwa na wife wake wa darasa la saba. We huoni hata Fidel80 amempa mimba asiyemtaka na hii nadhani ni kwa sababu ni house gal, sasa anaona aibu kumkubaliMi nashindwa kuelewa watu wanafananishaje elimu ya darasani na urijali wa papo kwa papo? hehehehehhe pole manake muhanga amekupiga za uso eti hujaenda shule..haya mambo hayana shule wakuu ndo maana wanasema mapenzi ni kipofu!
We huoni hata Fidel80 amempa mimba asiyemtaka na hii nadhani ni kwa sababu ni house gal, sasa anaona aibu kumkubali
Mapenzi hayana macho jamani, watu wanaduu na mahouse gal
sio dharau, sasa mbona hwatu humega kwa kujificha na mara likibumbuluka huona aibu eti ooh nilipotea step, MINGUNGA USIPIME MKUU WAWEZA INGIA HADI KWA CHIZIAcha dharau hizo dogo kwani house gal sio binadamu? Tena utakuta house gal analipa kuliko wife kwa nn usimege kama mmekubaliana?
Mi nashindwa kuelewa watu wanafananishaje elimu ya darasani na urijali wa papo kwa papo? hehehehehhe pole manake muhanga amekupiga za uso eti hujaenda shule..haya mambo hayana shule wakuu ndo maana wanasema mapenzi ni kipofu!
duh inawezekana lakini sijaelewa au mimi binafsi sifahamu kama nipo addicted kiasi cha kuhitaji counseling, wewe unadhani ni kwa nini nahitaji huduma hiyo ili niwahi haraka kabla sijaathirika zaidi. thanx kwa kunishauriGudboy... you must be sick and damn addicted to women
You need counseling
mtm
sawa bana, lakini wasi wasi wao tu, wao bora wangemkaribisha jamaa, hata hivyo sidhani kama angelala kwao na pia vile vile hao wake zao labda wana tamaa na hawawapendi. Kwa mtu single kweli laweza tokeaMkuu we na hii post yako umesababisha hata ndugu yetu alitangaza kuja Dar kwa wkend ashindwe kupokelewa na wadau kama kawaida ya wanaJF kisa asije akageuka kama wewe!
Na wengi wakihoji kwa vile hawana dada au housegirl inamaana mawife ndo wangekuwa kwenye mtego.
Siku nyingine ukikutana na zali kama hili we mega then inakuwa kimyaa....
sawa bana, lakini wasi wasi wao tu, wao bora wangemkaribisha jamaa, hata hivyo sidhani kama angelala kwao na pia vile vile hao wake zao labda wana tamaa na hawawapendi. Kwa mtu single kweli laweza tokea