Ingekua vipi.....

Scorpio Me

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
6,119
7,933
Ingekua vipi kama contacts za watu ulizonazo ziko linked na JF IDs...
Kama venye instagram hufanya(ukiwa na namba ya mtu,inakulink na account yake ya IG)...
Nawaza tu ingekua vipi hapo....
 
tungekuwaaaa woteeee tupo central saiz au rumandeeeeeeeee sa hiii bas ata ungeona post ya bashiteee au hii coment# tungekuwaaa wapoleeeee kama majiii mtungini
 
Back
Top Bottom