Ingekua ni wewe ungefanyaje?

Ingekua ni wewe ungefanyaje?

Bila dental check up, ni ngumu kujua kwani mtu anaweza kuwa na meno yaliyo toboka bila yeye kujua.

Hvi kwa mfano unajua fika mpenzi wako meno yake yametoboka unafanyaje?
 
Unakiss na mpenzi wako
Wet kiss"unakutana na vipatiko vya wali unamuuliza umetoka kula anakwambia nimetoka kutapika
UNGEFANYAJE?

Hahaha...yani hapo ntatamani kurewind hiyo siku ili ni erase tukio
 
Unakiss na mpenzi wako
Wet kiss"unakutana na vipatiko vya wali unamuuliza umetoka kula anakwambia nimetoka kutapika
UNGEFANYAJE?

aaargh!!!@masai dada utafanya tuanze kuogopa hizo mambo banaaaaaah!!!!
 
Mapenzi si uchafu...? Je wale wanaozama chumvini alafu mwasi anakwambia ndo ametoka kumaliza blid..? Ni vile vile tuu

nadhani huo utakua mpango wa kando. kwani hujui tarehe zake? ila yataka moyo
 
Nitakausha tu.
Iliwahi tokea jamaa ananyonya matiti maziwa yakaanza kutoka ikabidi ateme alafu.. Apotezee tu
 
nampa tu pole kwani kitu kimetokea sasa hamna jinsi ni ku-pretend tu kama sijachukia
 
Unakiss na mpenzi wako "wet kiss"unakutana na vipatiko vya wali unamuuliza umetoka kula anakwambia nimetoka kutapika.

Utafanyaje?
masai dada bhana unauliza nin ww? Watu wanazama chumvin hadi chooni leo unauliza matapishi?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom