inge kuwa wewe ungefanyaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

inge kuwa wewe ungefanyaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by menny terry, Apr 15, 2011.

 1. m

  menny terry Senior Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hebu fikiria una Gf wako ambae mna aminiana sanaa na huko nyuma mlisha wahi kupima na kukutwa mpo safi hali hii imewapelekea kuwa mnacheza mechi bila refa but sikumoja katika pekua pekua kwenye pochi yake una kuta ana lady pepeta au condom ya kike na uki muuliza ana sema hii ni ya rafiki yangu amenituma ni mnunulie.
   
 2. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Huyo anaonyesha anajali afya yake ila si mwaminifu. Wewe unafikiri atasema ni ya kwake ? Piga chini.
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  1.anajali na anajua ukimwi upo ..MPONGEZE KWA ILO
  2.IO CONDOM NI yake.
  uo urafiki wa kubebeana na condom kwa wasichana nachelea kusema aupo....


  3.kaa naye chn umwulize na akuambie ukweli anafanya nanani?

  lakin usikubali kudanganywa ktoto et nimembea rafiki yangu.....mdadisi utaujua ukweli...
   
 4. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mmmh....huyo hatosheki na mambo yako.......ongeza dozi.ili huko anakoenda kuvaa iyo lady pepeta awe anaghailisha kwenda.
  NB:Relationship yenu haina mawasiliano mazuri sababu hamuelezani hisia zenu kwa uwazi zaidi.mfano kama haujatosheka uwa unamwambia?ama wanyamaza kimya?na yeye pia hakuambiagi kama hajatosheka.
   
 5. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  hatofautiana na yule jamaa yangu alimkuta na ky-jely ikiwa imetumia kidogo........alipoulizwa akasema ni ya rafiki yake....hahaha
   
 6. data

  data JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,747
  Likes Received: 6,523
  Trophy Points: 280
   
 7. L

  LANYORLAI Member

  #7
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata kama ni ya rafiki yake ndo aje nayo kwako?si angenunua wakati wa kurudi kwao? Huyo ni muongo tena ni wa hatari sana...
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mwambie muitumie alafu mkimaliza unamwambia msijuane tena!
   
 9. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
   
 10. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  SIYO MWAMINIFU ila pia ni mwangalifu huko nje,
  kaeni chini jadilianeni mienendo yenu ,
  mapenzi kama ni bahari hayakosi mawimbi,
  kosa moja haliachi mpenzi/mke /mume.
   
 11. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kuachana siyo suluhisho jema la kutanguliza. Unaweza kumuacha na kuja kumpata mwengine ambaye anaweza kuwa ana mapungufu mengi atamzidi kuliko huyo uliyemuacha.
   
Loading...