Mbeya University of Science and Technology halafu kitoe diploma pekee!???...3. Na je kuna chuo kinachotoa Bachelor kwa iyo course maana must ni diploma tu.
electromechanic imo pia ndani ya mechatronics.MechaTronics si ndiyo hii hii Electromechanic?? Au hiyo ni tofauti?
Komaa ni kozi nzuri sana,ni mwendo wa kutengeneza robot sasa, siku c nyingi nafikiri mwakani DIT wataanzaMsaada wakuu, juzi nilikuwa napitia MUST prospectus nikakutana na iyo course ya MechTronics sasa nimepata maswali mengi kuhusiana na hii course bila majibu
1. Hii course ina contains both mechanical na electronic au ni parts tu.
2. Fields zake ni zipi?
3. Na je kuna chuo kinachotoa Bachelor kwa iyo course maana must ni diploma tu.
Msaada juu ya hayo maswali ili nifahamu kama naweza komaa nayo