nejje
Member
- Jul 19, 2016
- 12
- 8
Habari zenu! Ningependa kuuliza kwa hawa wataalamu na wanaosoma ICT. vyuo accredited by NACTE vinatutaka waombaji tuwe na maamuzi sahihi ya course sababu once umejaza course huwezi kuibadilisha mbeleni. Swali: kuna tofauti kati ya Computer science na Computer engineering?