Inflation ya hatari, Mchele kilo 2800?

Inflation ya hatari, Mchele kilo 2800?

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
1,471
Reaction score
526
Hivi inawezekanaje mchele kilo 2800? viongozi hawafanyi kitu? Mi na kashule na kakazi kangu shughuli naipata sasa yule mwenzangu na mimi inakuwaje? Imagine this is May, come december mtaniambia.

Zile hela za ziara za mawaziri mikoa ni kuwaambia wananchi nini kimefanywa na serikalli yao nashauri wakanunue grains nje waziflood sokoni kushusha bei. Ile hifadhi ya chakula SGR vipi mbona wameshindwa kucurb price hikes za vyakula? au ndo siasa nao. Life is too tough.
 
2800 mbona ndio bei y mchele PEMBA!

hiyo ni kama 1.5 USD ambayo sio kubwa kihiivyo!
 
Mkuu tunakufa kimyakimya bila kupiga kelele!

Mwezi uliopita mchele ulikuwa unauzwa Tsh. 2300
Mwezi huu ni Tsh. 2800
ongezeko ni Tsh 500 bila change
Mwezi wa kumi na mbili mwaka jana mchele uliuzwa Tsh. 1700 mpaka 2000.
 
Hivi inawezekanaje mchele kilo 2800? viongozi hawafanyi kitu? Mi na kashule na kakazi kangu shughuli naipata sasa yule mwenzangu na mimi inakuwaje? Imagine this is May, come december mtaniambia.

Zile hela za ziara za mawaziri mikoa ni kuwaambia wananchi nini kimefanywa na serikalli yao nashauri wakanunue grains nje waziflood sokoni kushusha bei. Ile hifadhi ya chakula SGR vipi mbona wameshindwa kucurb price hikes za vyakula? au ndo siasa nao. Life is too tough.
Kuna kitu kibaya sana tumemkosea Mungu hata akaipa ujasiri tume ya Taifa ya uchaguzi kutuamulia tuongozwe na nani? nahisi kama wananchi wakichoka sana damu itamwagika hapa Tz
 
Hivi inawezekanaje mchele kilo 2800? viongozi hawafanyi kitu? Mi na kashule na kakazi kangu shughuli naipata sasa yule mwenzangu na mimi inakuwaje? Imagine this is May, come december mtaniambia.

Zile hela za ziara za mawaziri mikoa ni kuwaambia wananchi nini kimefanywa na serikalli yao nashauri wakanunue grains nje waziflood sokoni kushusha bei. Ile hifadhi ya chakula SGR vipi mbona wameshindwa kucurb price hikes za vyakula? au ndo siasa nao. Life is too tough.

Pole sana mkuu, sie watu wa mwanza tunanunua 1300 kwa raha zetu, na kama jua litafululiza kuwaka within this week tutanunua 1000 kwa kilo...........
 
2800 mbona ndio bei y mchele PEMBA!

hiyo ni kama 1.5 USD ambayo sio kubwa kihiivyo!

Issue ni movement ya bei ukilinganisha na mwezi uliopita tu. Mchele wa quality hiyo ulikuwa unauzwa 2200 hadi 2300, sasa leo ni 2800! Wewe huoni tofauti? pemba si mnakula mara moja tu kwa siku, hivyo siyo issue sana, bara tunakula mara tatu as per WHO recommendation!
 
huu ndio mwanzo wa kula vyakula mbadala kama wachina...kila siku wali tu!!!!
 
Ikifika December bei itakuwa 3500
 
kigezo chako cha iflation ni kupanda kwa bei ya mchele?
Kwa ufupi inflation ni too much money for very few goods. scarcity kwa ufupi. Nimeongelea mchele coz ni one of the core food stuf. sukari, unga bei yake unaijua hata JK alituahidi bei lkn imeshindikana. sijui shule yako na sijui kama utanielewa. Ila mi nimekumegea what i meant.
 
uendelea kukumbatia magamba ni janga kwa Taifa Dr alisema mapema ila watu hawakumuelewa sasa hivi ndiyo wanaanza kumuelewa. Mpaka kufikia Nov 2015 natumaini utakuwa unauzwa 3500/= na sukari 3500/= Unga 2500/=
 
Pole sana mkuu, sie watu wa mwanza tunanunua 1300 kwa raha zetu, na kama jua litafululiza kuwaka within this week tutanunua 1000 kwa kilo...........

Na ndo maana ikaanzishwa SGR Siku hizi nafikiri wana jina jingine kazi yao among others ni kununua chakula kilipo kwa wingi na kukipeleka sokoni kwenye mikoa isiyo na chakula ili kushusha bei. So watu hawafanyi kazi au ndo mitindo yetu ya kuwanyima pesa na kuwajazia wanasiasa.
 
Usisahangae inflation mkuu ndiyo maisha bora kwa kila mtanzania tuliyoahidiwa na JK na chama chake cha magamba
 
Maisha magumu ndo yatakayo badilisha fikra za watu hili mwaka 2015 tutakapopata fursa ya kupiga kura watu wajue umuhimu wa kupiga kura na thamani ya kura zao.
 
2800 mbona ndio bei y mchele PEMBA!

hiyo ni kama 1.5 USD ambayo sio kubwa kihiivyo!

Are you serious?

kwanza, sisi hapa hatulipwi mshahara kwa dola.

pili, piga wastani wa mshahara wa mtanzania halafu useme kwamba hiyo bei si kubwa hivyo.

jamani musitutanie wengine wenye extended families vichwa vinatuzunguka kwa kukimbizana na maisha.
 
mkuu mchele wa 2800 umejaa mawe na chuya kama sio uliokatika, ukitaka mchele mzuri sh 3,000!!!!!
 
Hivi inawezekanaje mchele kilo 2800? viongozi hawafanyi kitu? Mi na kashule na kakazi kangu shughuli naipata sasa yule mwenzangu na mimi inakuwaje? Imagine this is May, come december mtaniambia.

Zile hela za ziara za mawaziri mikoa ni kuwaambia wananchi nini kimefanywa na serikalli yao nashauri wakanunue grains nje waziflood sokoni kushusha bei. Ile hifadhi ya chakula SGR vipi mbona wameshindwa kucurb price hikes za vyakula? au ndo siasa nao. Life is too tough.
Hayo ndio matokeo ya baba zako na bibi zako walioichagua CCM mwaka 2010,sasa waache wakione cha moto,na bado mimi naomba ifike buku tano kabisa ili ndugu zako watie adabu ili 2015 akili ziwe zimewarudi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom