teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Wadau nina uhakika kuwa kupitia jukwaa hili nitapatiwa majibu, simu yangu aina tajwa hapo juu imeanza jana kujizima na kujiwasha yenyewe kifupi huwezi kufanya kitu chochote ukijaribu kufungua app yoyote ina stuck na baada ya hapo inazima na kisha inajiwasha, kibaya zaidi kuna app ambayo kwa kweli simu ikifrashiwa nitapata hasara, naomba msaada wenu je ni tatizo la hardware au ni software