Infinix imetoa simu yenye update miaka 5

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,367
Reaction score
2,799


Kama Unachoka kubadilisha simu kila baada ya muda mfupi? ๐Ÿ˜… Basi ngoja kwanza nikuambie kuhusu hii simu! ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ

Infinix imekuja na ujumbe unaovutia kupitia HOT 70! ๐Ÿ“ฑ๐Ÿ”ฅ Wanasema: โ€œTough Outside, Beast Inside!โ€ ๐Ÿค–๐Ÿ’ช Yaani muonekano wenye mvuto, nguvu ya Ajabu na ahadi ya masasisho ya programu kwa muda mrefu!



โœ… ๐Ÿ’ช Muundo unaolenga uimara na uvumilivu
โœ… ๐Ÿ”‹ Betri kubwa kwa matumizi ya kila siku
โœ… ๐Ÿš€ Skrini laini yenye 120Hz
โœ… ๐Ÿ” miaka 5 ya masasisho ya usalama na update kwa matoleo yanayostahili.



Cha kuvutia zaidi hii simu Inakupa uwezo wa kukaa nayo kwa muda mrefu bila kuhitaji kubadili badili simu kila mara kutokana na kupewa update ya miaka 5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ