badilisha charging portWakuu habari zenu? Kuna simu tajwa hapo juu imezima ghafla haichaji na Wala haitambuliki na computer (windows7,windows10),Je shida n nn?
Natanguliza shukrani
Hiyo mashine ndo ishazingua, zingine zinaamka baada ya kuipiga moto wakutosha katika processor chip(inakuwa covered na kibati flan hv).Wakuu habari zenu? Kuna simu tajwa hapo juu imezima ghafla haichaji na Wala haitambuliki na computer (windows7,windows10),Je shida n nn?
Natanguliza shukrani
Kaka kitambo sana naona unashusha material kwa vijana wako , ila kuchange emmc card si sawa na utumbo wa simu ?Mara nyingingi hizo simu zainashida ya emmc (flash ic ) na sio processor kama anavyo sema. Hizo simu wameweka emmc card za bei nafuu (aina yake ni kingstone) ambazo hazidumu. Cha kufanya sio kupiga moto ila ni kubadilisha storage chip. Kama upo arusha unaweza nitafuta kupitia 0743098141 kwa msaada zaidi.
Yes, ni sawa na kubadilisha hdd ya computer.Kaka kitambo sana naona unashusha material kwa vijana wako , ila kuchange emmc card si sawa na utumbo wa simu ?
Ni kweli mkuu wengi hudhani ni processer ingawaje wakati mwingine nayo yaweza kuwa sababu. Ila ukweli ni kwamba kuna mambo matatu yawexa kusababisha kwa upande wa emmc ambayo ndiyo storage na ram pia kwa hizo simu.Mara nyingingi hizo simu zainashida ya emmc (flash ic ) na sio processor kama anavyo sema. Hizo simu wameweka emmc card za bei nafuu (aina yake ni kingstone) ambazo hazidumu. Cha kufanya sio kupiga moto ila ni kubadilisha storage chip. Kama upo arusha unaweza nitafuta kupitia 0743098141 kwa msaada zaidi.