Wakuu habari zenu? Kuna simu tajwa hapo juu imezima ghafla haichaji na Wala haitambuliki na computer (windows7,windows10),Je shida n nn?
Natanguliza shukrani

Mara nyingingi hizo simu zainashida ya emmc (flash ic ) na sio processor kama anavyo sema. Hizo simu wameweka emmc card za bei nafuu (aina yake ni kingstone) ambazo hazidumu. Cha kufanya sio kupiga moto ila ni kubadilisha storage chip. Kama upo arusha unaweza nitafuta kupitia 0743098141 kwa msaada zaidi.

Ni kweli mkuu wengi hudhani ni processer ingawaje wakati mwingine nayo yaweza kuwa sababu. Ila ukweli ni kwamba kuna mambo matatu yawexa kusababisha kwa upande wa emmc ambayo ndiyo storage na ram pia kwa hizo simu.
1. Yaweza kuwa emmc imefeli hivyo kuhitaji ibadilishwe au
2. Baadhi ya zile balls za emmc zimeachia na hivyo kuhitaji zipigwe tena moto ili zishikane ama kufanya reball. Au
3. Circuit board pale ambapo hiyo chip ya emmc huwa solderd patakuwa pameng'oka moja kwa mija na njia yake na hivyo kuhitaji kubadili circuit board.
Hii shida ya tatu kwa ninavyofikiria mimi huwa inasababishwa na kuangushwa angushwa kwa simu.