Infinix Hot 10 Play ufanisi wake ukoje?

Infinix Hot 10 Play ufanisi wake ukoje?

Infinix simu ina matangazo mengi hadi kwenye Menu, contacts na msg.
hata ukiangalia salio matangazo yanajileta
Hivi shida ni nn kwenye infinix. Kuna jamaa yangu anamiliki hot 10 play inamletea matangazo.

Mara bonyeza upate gb 10 bure mara pata wanawake wa bure 😊😊😊 in short matangazo ni mengi kila sehemu kosa uwashe data
 
Mimi binafsi natumia Infinix hot ten na ipo vizur tu maana kam nikii chaji ikajaa nakaa nayo siku tatu Hadi mbili. Na wala sijutii kuimiliki.
Hivyo naamini hata hiyo uliyoisema itakuwa ipo vizuri tu.
Wengine chaji sio kipaumbele ktk simu
 
Back
Top Bottom