Infinix Hot 10 Play ufanisi wake ukoje?

Infinix Hot 10 Play ufanisi wake ukoje?

yusufu mtegwa

Member
Joined
Oct 27, 2019
Posts
6
Reaction score
2
"Mnaionaje ile simu ya "INFINIX HOT 10 PLAY" yenye RAM 4,na GB 64, na 6000mah.kwa aliewahi au anaeitumia vipi ni simu nzuriii wadau???,nielekezeni mwanzenu.
 
Yaani tumetoka kuinunua leo kwa 350,000/=

Kusema kweli ni nzuri kwa matumizi ya kawaida. Battery lake 6000mAh nadhani ukichaji hadi kesho inafika ata kwa OST ya 12-16 hours.
 
Yaani tumetoka kuinunua leo kwa 350,000/=

Kusema kweli ni nzuri kwa matumizi ya kawaida. Battery lake 6000mAh nadhani ukichaji hadi kesho inafika ata kwa OST ya 12-16 hours.
Kwa bei zinatofautiana inategemea umenunua wapi,bei ya mlimani city haifanani na China plaza wala haifanani na kariakoo ndani ndani
 
Naona watu wa Samsung, Apple na Xiaomi wamekuja kufanya fujo kwenye uzi wa jamaa. 🤔
 
Infinix simu ina matangazo mengi hadi kwenye Menu, contacts na msg.
hata ukiangalia salio matangazo yanajileta
 
Acha ushamba! tenco ni kampuni tofauti kabisa na infinix
mali ya kampuni moja inaitwa Transsion Holdings
Screenshot_20210608-225228.jpg
 
Back
Top Bottom