Infinity hot6 x imekata network kbsa ya mtandao wowote

Infinity hot6 x imekata network kbsa ya mtandao wowote

Quavohucho

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2020
Posts
949
Reaction score
2,249
Wakuu kuna simu hapa infinity hot6 x
Inashida imekata network kbsa ya mtandao wowote,
Yaana inaonyesha kabsa line zipo lakini network aishiki,
Tukiangalia upande was hardware Hamna shida yyote

Kuna baadhi ya watu wanasema imei zinasoma nje
lkina mwanzo network ilikuwa fresh kabsa

H wadau na solve vipi hilo tatzo msaada wenu tafadhali
 
Vipi haja flashiwa kama vijana wa mjini wengi wasemavyo?
 
Access names uneshaedit na kusave?*tuanzie hapo kwanza
 
C

Cjakupata mzee access name ndi nini??
Yaani means Kama bar ipo Ila 3g,E,H haisomi Basi nenda kwenye mobile network Kisha access points names Kisha add APN andika INTERNET Kisha save itakuwa tayari washa data
 
Yaani means Kama bar ipo Ila 3g,E,H haisomi Basi nenda kwenye mobile network Kisha access points names Kisha add APN andika INTERNET Kisha save itakuwa tayari washa data
Yaani hata bar za network hazipandi kabsa ,yaan had I kupiga na kutuma SMS haiwezekani,, kwa inasema your in airplane mode wakati zijabinyeza air plane mode
 
Mkuu tuma picha ya minara tuone jinsi inavyosoma kisha tuanze kutiririka, kisha tuma hizo imei number kwenda 15090 tuone majibu yanayokuja.
 
Ku upload pic inashindika ila kile ki bar kinachoonyesha network kiko plane tu
Mkuu tuma picha ya minara tuone jinsi inavyosoma kisha tuanze kutiririka, kisha tuma hizo imei number kwenda 15090 tuone majibu yanayokuja.n
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom