kambi safi
Member
- Dec 21, 2012
- 9
- 1
wadau habari kutoka uhamiaji zinasema vijana zaid ya 6000 wameomba lakini haijulikani kama wataita kwenye intervie, itakuwa kimya kimya ili kuondoa msongamao. wadau tujuzane kama watatoa hiyo kimya kimya, au mwenye update atupe maana vijana walificha degree na kujifanya form six hat mimi mmoja