Inependeza kama wote tungekuwa hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inependeza kama wote tungekuwa hivi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JUST, Mar 15, 2011.

 1. JUST

  JUST JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33

  Angalizo: maelezo hapa chini yanawahusu wanaofanya vitendo hivyo.

  ingependeza kwa wana JF wanapojadili mambo ya kisiasa hasa katika hiki kipindi nchi inakabiliwa na changamoto nyingi kubishana kwa nguvu ya hoja badala ya kutukana.
  kwa mfano kama mtu ni mwanachama wa CCM au mpenda sera za CCM na anaona serikali ya CCM haijashindwa kiungozi kwa sasa basi aje na hoja za kimantiki kuthibitisha na si kutukuna, vivyo hivyo kwa wanachama wa CDM na wapenda sera wa CDM.

  Nimezumngumzia CCM na CDM kwasababu mpira wa kisiasa hapa tanzania naona unachezwa ni vyama hivi viwili zaidi.

  Nawakilisha kwa maoni
   
Loading...