GE2025 INEC yapitisha vyama 17 kuwania Urais Oktoba 29, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Urejeshaji fomu za kugombea urais umekamilika leo katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), ambapo mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, alizuiwa kuingia kutokana na kukosa vigezo.

Kwa mujibu wa kanuni za chama hicho, mgombea wa nafasi ya urais anatakiwa awe mwanachama aliyehudumu ndani ya chama kwa angalau siku 30 kabla ya uteuzi, jambo ambalo Mpina alishindwa kutimiza.

Mpina, ambaye aliwasili saa 6:40 mchana akiwa na mgombea mwenza wake, alizuiwa getini na maafisa wa Tume na kuambiwa wasubiri nje. Hata hivyo, hadi mwisho wa siku, yeye pamoja na wafuasi wake hawakuruhusiwa kuingia ndani kurejesha fomu hizo.

Awali, ACT-Wazalendo walieleza matumaini ya kurejesha fomu hizo ili kujiandaa kuanza kampeni rasmi katika maeneo mbalimbali nchini, lakini walikumbana na kikwazo hicho.

Wagombea wa Vyama VingineMgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, akiwa na mgombea mwenza wake Dk. Emmanuel Nchimbi, walifanikiwa kurejesha fomu zao kwa mujibu wa ratiba ya Tume.

Mbali na CCM, vyama vingine vilivyorejesha fomu ni: NRA, AAFP, Chama Makini, NLD, UPDP, ADA TADEA, UMD, TLP, CCK, CHAUMMA, DP, SAU, CUF, ADC, UDP, NCCR-Mageuzi na UMD.

Wagombea wa Urais Tanzania 2025

1. Chama Cha Mapinduzi (CCM)
  • Samia Suluhu Hassan - Mgombea Urais
  • Emmanuel Nchimbi – Mgombea mwenza
2. National Reconstruction Alliance (NRA)
  • Hassan Kisabya Almas - Mgombea Urais
  • Hamis Hassan - Mgombea mwenza
3. Alliance for African Farmers Party (AAFP)
  • Kunje Ngombare Mwiru – Mgombea Urais
  • Chumu Abdallah Juma – Mgombea mwenza
4. Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (MAKINI)
  • Coaster Kibonde – Mgombea urais
  • Aziza Haji Suleiman – Mgombea mwenza
5. National League for Democracy (NLD)
  • Doyo Hassan Doyo – Mgombea urais
  • Chausiku Khatibu Mohamed – Mgombea mwenza
6. United People’s Democratic Party (UPDP)
  • Twalib Ibrahim Kadege – Mgombea Urais
  • Abdalla Mohamed Khamis – Mgombea mwenza
7. Chama Cha African Democratic Alliance Party (ADA TADEA)
  • George Bussungu – Mgombea Urais
  • Ali Issa Makame - Mgombea mwenza
8. Chama Cha Union for Multiparty Democracy (UMD)
  • Mwajuma Noty Mirambo – Mgombea Urais
  • Mashavu Alawi - Mgombea mwenza
9. Chama cha Tanzania Labour Party (TLP)
  • Yustas Rwamugira – Mgombea Urais
  • Aman Seleman Mzee - Mgombea mwenza
10. Chama cha Kijamii cha (CCK)
  • David Daud Mwaijele – Mgombea Urais
  • Masoud Ali Abdalla - Mgombea mwenza
11. Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)
  • Salum Mwalimu – Mgombea Urais
  • Devotha Minja - Mgombea mwenza
12. Chama cha Democratic Party (DP)
  • Abdul Mluya – Mgombea Urais
  • Abrahman Khatib - Mgombea mwenza
13. Chama cha Sauti ya Umma (SAU)
  • Majalio Paul Kyara – Mgombea Urais
  • Satia Mussa Bebwa - Mgombea mwenza
14. Chama cha Wananchi (CUF)
  • Gombo Gombo – Mgombea Urais
  • Husna Mohamed Abdalla - Mgombea mwenza
15. Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC)
  • Wilson Elias Mulumbe – Mgombea Urais
  • Shoka Khamis Juma - Mgombea mwenza
16. Chama cha United Democratic Party (UDP)
  • Saum Rashid – Mgombea Urais
  • Juma Hamis - Mgombea mwenza
17. Chama cha National Convention for Construction and Reform – Mageuzi (NCCR-MAGEUZI)
  • Haji Ambar Khamis – Mgombea Urais
  • Dkt. Eveline Wilbard Munisi - Mgombea mwenza

Chanzo: Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
 
Kwahiyo hawa wote ndio waliokubali "kununuliwa" sio??? 🤔
 
Hawo wote waliochukuwa fomu na kurudisha wanajuwa kabisa Rais wa nchi ni nani, lakini kwa vile ni sehemu ya igizo la CCM wanajitoa ufahamu kana kwamba wanainchi hawalioni.
 
Urejeshaji fomu za kugombea urais umekamilika leo katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), ambapo mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, alizuiwa kuingia kutokana na kukosa vigezo.

Kwa mujibu wa kanuni za chama hicho, mgombea wa nafasi ya urais anatakiwa awe mwanachama aliyehudumu ndani ya chama kwa angalau siku 30 kabla ya uteuzi, jambo ambalo Mpina alishindwa kutimiza.

Mpina, ambaye aliwasili saa 6:40 mchana akiwa na mgombea mwenza wake, alizuiwa getini na maafisa wa Tume na kuambiwa wasubiri nje. Hata hivyo, hadi mwisho wa siku, yeye pamoja na wafuasi wake hawakuruhusiwa kuingia ndani kurejesha fomu hizo.

Awali, ACT-Wazalendo walieleza matumaini ya kurejesha fomu hizo ili kujiandaa kuanza kampeni rasmi katika maeneo mbalimbali nchini, lakini walikumbana na kikwazo hicho.

Wagombea wa Vyama VingineMgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, akiwa na mgombea mwenza wake Dk. Emmanuel Nchimbi, walifanikiwa kurejesha fomu zao kwa mujibu wa ratiba ya Tume.

Mbali na CCM, vyama vingine vilivyorejesha fomu ni: NRA, AAFP, Chama Makini, NLD, UPDP, ADA, TADEA, UMD, TLP, CCK, CHAUMMA, DP, SAU, CUF, ADC, UDP, NCCR-Mageuzi na UMD.
Utitiri wa vyama lakini wajinga watupu na matapeli. Hawana hata huruma na Rasilimali za nchi
 
S

Chanzo cha picha,URT/SALUM
Saa 6 zilizopita
Tume huru ya Taifa ya uchaguzi nchini Tanzania (INEC) imeteua rasmi majina ya wagombea 17 wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025. Hatua hii imekuja baada ya wagombea hao kutoka vyama 17 kurejesha fomu na kukidhi masharti ya kikatiba na kisheria.
CHADEMA, chama kikuu cha upinzani, hakitashiriki uchaguzi huu kikisisitiza kuwa marekebisho ya mfumo wa uchaguzi ni sharti yafanyike kwanza ili kuwe na uchaguzi huru na wa haki.
ACT-Wazalendo pia haitakuwa na mgombea baada ya Luhaga Mpina kuenguliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kufuatia pingamizi lililotolewa na mwanachama wa chama hicho, Monalisa Ndala.
Sababu kuu iliyoelezwa ni kwamba Mpina alipata uanachama Agosti 5, 2025, nje ya muda wa kisheria wa kuchukua fomu za kugombea ndani ya chama, ambapo ilipaswa kuwa kabla ya Mei 25, 2025.
Aidha, mgombea wa chama cha ADC Wilson Elias pia amethibitishwa na Tume.

Wagombea waliothibitishwa na Tume ni kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo Rais aliyepo madarakani, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amethibitishwa kugombea urais akiwa na Balozi Dkt. Emanuel Nchimbi kama mgombea mwenza.
a

Chanzo cha picha,Ikulu
Maelezo ya picha,Rais Samia akiwa na mgombea mwenza Nchimbi (kushoto) wakirejesha fomu za uteuzi kwa Tume
Chama Cha Wananchi (CUF) kimemsimamisha Gombo Samandito Gombo akiwa na mgombea mwenza Husna Mohamed Abdalla. NCCR-Mageuzi kitawakilishwa na Haji Ambar Khamis pamoja na Dkt. Eveline Wilbard Munisi, huku chama cha CHAUMMA kikiwasimamisha Salum Mwalimu na Devotha Mathew Minja.

Katika chama cha UDP, mgombea ni Saum Hussein Rashid, mgombea mwenza ni Juma Khamisi Faki. Chama cha TLP amethibitishwa Yustas Mbatina Rwamugira na Amana Suleiman Mzee. Chama cha DP amepitishwa Abdul Juma Mluya akiwa na Sadoun Abrahman Khatib, wakati chama cha TADEA kimemsimamisha Georges Gabriel Bussungu kuwania urais na Ali Makame Issa kama mgombea mwenza.
Kwa upande mwingine, chama cha UMD, Tume imemthibitisha Mwajuma Noty Mirambo akiwa na mgombea mwenza Mashavu Alawi Haji. UPDP amepitishwa Twalib Ibrahim Kadege na Abdalla Mohamed Khamis. NRA ameteuliwa Hassan Kisabya Almas kuwania urais na Hamis Ali Hassan mgombea mwenza, huku chama cha MAKINI kikiwa na mgombea urais Coaster Jimmy Kibonde na mgombea mwenza Azza Haji Suleiman.
Chama cha NLD kitawania urais kupitia Doyo Hassan Doyo pamoja na Chausiku Khatib Mohamed kama mgombea mwenza, wakati SAU kimemsimamisha Majalio Paul Kyara kupeperusha bendera ya chama hicho na Satia Mussa Bebwa. CCK kimempitisha David Daud Mwaijojele na mgombea mwenza Masoud Ali Abdala, huku chama cha AAFP kikiwa na Kunje Ngombare Mwiru kama mgombea urais pamoja na Chumu Abdallah Juma, mgombea mwenza.
s

Chanzo cha picha,Almasi
Maelezo ya picha,Hassan Kisabya Almas mgombea urais kupitia NRA
Kwa mwaka huu, idadi ya wagombea wa urais imeongezeka hadi 17, ikilinganishwa na wagombea 15 walioteuliwa na Tume ya uchaguzi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Hata hivyo, hakutarajiwi kuwa na ushindani mkubwa, hasa kutokana na kutoshiriki vyama viwili vikubwa vya upinzani, CHADEMA na ACT Wazalendo. CHADEMA haishiriki kabisa uchaguzi wa mwaka huu, wakati ACT chenyewe baada ya mgombea wake urais, Mpina kuenguliwa, na ambacho kinasema kitakwenda Mahakamani kitashiriki kwenye ngazi ya ubunge na udiwani, na urais kwa upande wa Zanzibar.
Katika uchaguzi wa mwaka 2020, Tume ya uchaguzi ilipitisha wagombea 15 wa urais ambapo Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wa CCM aliibuka mshindi kwa kura milioni 12.5, akifuatwa na Tundu Lissu wa CHADEMA aliyepata kura milioni 1.9. Ukiacha Chadema iliyoshiriki, vyama vingine vyote vya upinzani hakuna kilichofikisha kura laki moja.
Shughuli za uteuzi wa wagombea urais 16 na wagombea wenza, zilifanyika katika ofisi za NEC zilizopo Njedengwa, jijini Dodoma, chini ya Mwenyekiti wa NEC, Jaji wa Mahakama ya Rufani, Jacobs Mwambegele. Hii ni hatua ya mwanzo rasmi ya safari ya kuelekea kupata kiongozi wa nafasi ya juu kabisa katika nchi. chanzo.BBC
 
Urejeshaji fomu za kugombea urais umekamilika leo katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), ambapo mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, alizuiwa kuingia kutokana na kukosa vigezo.

Kwa mujibu wa kanuni za chama hicho, mgombea wa nafasi ya urais anatakiwa awe mwanachama aliyehudumu ndani ya chama kwa angalau siku 30 kabla ya uteuzi, jambo ambalo Mpina alishindwa kutimiza.

Mpina, ambaye aliwasili saa 6:40 mchana akiwa na mgombea mwenza wake, alizuiwa getini na maafisa wa Tume na kuambiwa wasubiri nje. Hata hivyo, hadi mwisho wa siku, yeye pamoja na wafuasi wake hawakuruhusiwa kuingia ndani kurejesha fomu hizo.

Awali, ACT-Wazalendo walieleza matumaini ya kurejesha fomu hizo ili kujiandaa kuanza kampeni rasmi katika maeneo mbalimbali nchini, lakini walikumbana na kikwazo hicho.

Wagombea wa Vyama VingineMgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, akiwa na mgombea mwenza wake Dk. Emmanuel Nchimbi, walifanikiwa kurejesha fomu zao kwa mujibu wa ratiba ya Tume.

Mbali na CCM, vyama vingine vilivyorejesha fomu ni: NRA, AAFP, Chama Makini, NLD, UPDP, ADA TADEA, UMD, TLP, CCK, CHAUMMA, DP, SAU, CUF, ADC, UDP, NCCR-Mageuzi na UMD.

Wagombea wa Urais Tanzania 2025

1. Chama Cha Mapinduzi (CCM)
  • Samia Suluhu Hassan - Mgombea Urais
  • Emmanuel Nchimbi – Mgombea mwenza
2. National Reconstruction Alliance (NRA)
  • Hassan Kisabya Almas - Mgombea Urais
  • Hamis Hassan - Mgombea mwenza
3. Alliance for African Farmers Party (AAFP)
  • Kunje Ngombare Mwiru – Mgombea Urais
  • Chumu Abdallah Juma – Mgombea mwenza
4. Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (MAKINI)
  • Coaster Kibonde – Mgombea urais
  • Aziza Haji Suleiman – Mgombea mwenza
5. National League for Democracy (NLD)
  • Doyo Hassan Doyo – Mgombea urais
  • Chausiku Khatibu Mohamed – Mgombea mwenza
6. United People’s Democratic Party (UPDP)
  • Twalib Ibrahim Kadege – Mgombea Urais
  • Abdalla Mohamed Khamis – Mgombea mwenza
7. Chama Cha African Democratic Alliance Party (ADA TADEA)
  • George Bussungu – Mgombea Urais
  • Ali Issa Makame - Mgombea mwenza
8. Chama Cha Union for Multiparty Democracy (UMD)
  • Mwajuma Noty Mirambo – Mgombea Urais
  • Mashavu Alawi - Mgombea mwenza
9. Chama cha Tanzania Labour Party (TLP)
  • Yustas Rwamugira – Mgombea Urais
  • Aman Seleman Mzee - Mgombea mwenza
10. Chama cha Kijamii cha (CCK)
  • David Daud Mwaijele – Mgombea Urais
  • Masoud Ali Abdalla - Mgombea mwenza
11. Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)
  • Salum Mwalimu – Mgombea Urais
  • Devotha Minja - Mgombea mwenza
12. Chama cha Democratic Party (DP)
  • Abdul Mluya – Mgombea Urais
  • Abrahman Khatib - Mgombea mwenza
13. Chama cha Sauti ya Umma (SAU)
  • Majalio Paul Kyara – Mgombea Urais
  • Satia Mussa Bebwa - Mgombea mwenza
14. Chama cha Wananchi (CUF)
  • Gombo Gombo – Mgombea Urais
  • Husna Mohamed Abdalla - Mgombea mwenza
15. Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC)
  • Wilson Elias Mulumbe – Mgombea Urais
  • Shoka Khamis Juma - Mgombea mwenza
16. Chama cha United Democratic Party (UDP)
  • Saum Rashid – Mgombea Urais
  • Juma Hamis - Mgombea mwenza
17. Chama cha National Convention for Construction and Reform – Mageuzi (NCCR-MAGEUZI)
  • Haji Ambar Khamis – Mgombea Urais
  • Dkt. Eveline Wilbard Munisi - Mgombea mwenza
Sisi kama taifa hatuko serious. Nini hiki sasa? Kuna haja ya uchaguzi hapa? Ni ujinga uliopitiliza
 
Hivi vyama vipo Tanzania? Hii ni project ya CCM, hakuna lingine, chama cha siasa ni kimoja tu na ndicho chenye kiongozi aliye jela. Miaka 30 vimegombea na havikupata mbunge hata mmoja,leo mnasema ni vyama hivi? Acheni kudanganya watanzania.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ma VX 17 aibu naona Mimi kapuku

Jumlisha mapikipiki na baiskeli zile!!

Tuwe na hofu ya Mungu japo kidogo

Huko Misikitini na Kawe tunaenda kufanya nini!!

MUNGU tuhurumie!!!
 
Natamani sheria ipitishwe kuwa chama ambacho hakipo active kifutwe haiwezekani vyama kibao tunaviona vikirejesha fomu tu na kampeni hata havipigi ila vinatumika tu kuonyesha kuna upinzani feki.

Sasa hapa Samia anapambana na nani? Tusipoteze muda apite bila kupingwa tu tuokoe gharama za uchaguzi
 
Kikubwa project imetiki.
Wengi wao wametimiza malengo Yao at least on history kwamba walikua wagombea na cruza walizipata kwaajili ya kampeni.
 
Back
Top Bottom