GE2025 INEC yamuondoa Peter Yohana (NRA) kwenye Kinyang’anyiro cha Ubunge Mbarali, kushindwa kurejesha fomu ya kuteuliwa

GE2025 INEC yamuondoa Peter Yohana (NRA) kwenye Kinyang’anyiro cha Ubunge Mbarali, kushindwa kurejesha fomu ya kuteuliwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ,INEC, imemuondoa Peter Yohana Mgombea wa Chama cha NRA katika Nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Mbarali, mkoani Mbeya, baada ya kushindwa kurejesha fomu ya kuteuliwa bila ya kutoa taarifa.

Akitoa Taarifa Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbarali Bw. Salifu Venance, amesema katika zoezi la uchukuaji fomu jumla ya wagombea 12 wa nafasi ya Ubunge, katika vyama tofauti 12 walifanikiwa kuchukua fomu na Wagombea 11, wameweza kurejesha isipokuwa Peter Yohana, ameshindwa kurejesha na hajatoa taarifa yoyote.

 
Back
Top Bottom