GE2025 INEC yamkabidhi Fomu Mgombea Urais wa TADEA, Georges Bussungu

GE2025 INEC yamkabidhi Fomu Mgombea Urais wa TADEA, Georges Bussungu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
INEC1093.jpg

INEC1090.JPG

INEC1117.jpg
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Democratic Alliance (TADEA), Georges Gabriel Bussungu.

Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Ali Makame Issa (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 11, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 Mwaka 2025.

(Picha na INEC).
 
Hawa ndiyo wanahitaji bajeti ya kampeni 100 Billion?
 
Back
Top Bottom