GE2025 INEC yakabidhi gari 'Land Cruiser' GX PHR' mgombea urais CCM

GE2025 INEC yakabidhi gari 'Land Cruiser' GX PHR' mgombea urais CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imemkabidhi mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, gari aina ya Land Cruiser pamoja na dereva, kwa ajili ya kampeni na kwamba ataambatana nalo kuanzia leo, mpaka kampeni zitakapokwisha.

Upuuzi unapozidi maelezo yaani raisi wa Tanzania anapanda tu gari la kupewa, umo ndani ajaziwe vinasa sauti.

Kama hii habari ina ukweli huko serikalini sasa hivi kunahitajika ‘psychological intervention’ sio kwa kiwango hiki cha wazimu kutoka kwa taasisi za serikali

Hizo hela za kununua gari si bora mtu mmoja angejichotea akatambe mtaani kuliko kuzitupa bure bure hivyo.
 
Maagizo toka juu ili mwanae Salum mwalim apate usafiri kuzugia uchaguzi akiwa mgombea urahisi......wahamiaji ndio wagombea urahisi ugenini......ķhaaa
 
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imemkabidhi mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, gari aina ya Land Cruiser pamoja na dereva, kwa ajili ya kampeni na kwamba ataambatana nalo kuanzia leo, mpaka kampeni zitakapokwisha.

Hongera Sana
Hakika mnastahili tuzo za Baraza la sanaa
 
Back
Top Bottom