INEC: Kuhusu upotoshaji wa kuunganishwa kwa mfumo wa uchaguzi na mifumo mingine

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,428
Kumekuwepo na taarifa za uongo na upotoshaji zinazozagaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa:

Mfumo wa Data za Uchaguzi unaotumiwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) umeunganishwa na mfumo wa NIDA na Mfumo huo umeunganishwa na chama kimoja cha siasa, na kwamba zoezi la kupiga kura limekamilika tayari.

Tume inapenda kufafanua na kukanusha vikali taarifa hizo kutokana na sababu zifuatazo:
1. Taarifa hizo ni za uongo na upotoshaji, zikitolewa na watu wasio na uelewa kuhusu mfumo wa uchaguzi wa Tanzania.

2. Daftari la Kudumu la Wapiga Kura halijaunganishwa na mfumo wowote wa Serikali au Taasisi binafsi kwa ajili ya kupigia kura.

3. Mfumo wa kupiga kura, kuhesabu kura na kutangaza matokeo hautumii mfumo wowote wa kielektroniki.

4. Utaratibu unaotumika ni wa kawaida (manual) katika hatua zote za kupiga kura, kuhesabu na kutangaza matokeo.

5. Baada ya kukamilika uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, vyama vya siasa vilikabidhiwa nakala za daftari linaloonesha idadi ya wapiga kura walioandikishwa katika kila kituo.

6. Mawakala wa vyama vya siasa hutumia daftari husika kumtambua mpiga kura anayefika kituoni kwa ajili ya kupiga kura.

7. Mchakato wa kupiga kura ni wa wazi:
  • Mpiga kura aliyeandikishwa hufika mwenyewe kituoni akiwa na kadi ya mpiga kura iliyotolewa na Tume.
  • Jina lake hutusomwa kwa sauti na msimamizi wa kituo, ili mawakala wa vyama wahakikishe jina lipo kwenye daftari.
  • Baada ya uhakiki, mpiga kura hupewa karatasi za kura na kuendelea na mchakato wa kupiga kura.
8. Kitambulisho cha Taifa (NIDA) hakitumiki kupigia kura. Kura hupigwa kwa kutumia kadi ya mpiga kura pekee iliyotolewa na Tume.

Wito kwa Wananchi na Wadau wa Uchaguzi: Kupuuza taarifa za uongo na upotoshaji zenye lengo la kusababisha taharuki.

Kufuatilia taarifa sahihi za Tume kupitia vyanzo rasmi pekee, zikiwemo:
  • Tovuti ya Tume: www.inec.go.tz
  • Kurasa rasmi za Tume kwenye mitandao ya kijamii.

Kumbuka: Uchaguzi Mkuu unatarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba 2025.

Soma Pia: INEC, NIDA wamkana Polepole

Imetolewa: 23 Agosti 2025
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)

Screenshot 2025-08-23 at 16-24-54 Instagram.png
 
INEC: KUHUSU UPOTOSHAJI WA KUUNGANISHWA KWA MFUMO WA UCHAGUZI NA MIFUMO MINGINE

Upuuzi, nani atawaamini! Polepole yuko sahihi, ametoka kwenye mamlaka kuu akiwa na Maguduli, anachokisema ni sahihi. Utamwamini Mwambegele? Kailima? Rubbish!
 
Ila mnajuaga kutuona waTZ mazwazwa hivi kati ya wewe K na Polex2 aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama,Mjumbe wa CC anayekuamlisha wewe na wenzako nini cha kufanya nani asiye na uelewa kuhusu mfumo wa uchafuzi wa tume yenu...mbona mnaogopa kumtaja jina...subiri akusikie aje akuvue ngua na kukutaji wahusika wakuu wa uchafuzi wewe hujui kitu mpuuzi
 
INEC: KUHUSU UPOTOSHAJI WA KUUNGANISHWA KWA MFUMO WA UCHAGUZI NA MIFUMO MINGINE

Kumekuwepo na taarifa za uongo na upotoshaji zinazozagaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa:

Mfumo wa Data za Uchaguzi unaotumiwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) umeunganishwa na mfumo wa NIDA na Mfumo huo umeunganishwa na chama kimoja cha siasa, na kwamba zoezi la kupiga kura limekamilika tayari.

Tume inapenda kufafanua na kukanusha vikali taarifa hizo kutokana na sababu zifuatazo:
1. Taarifa hizo ni za uongo na upotoshaji, zikitolewa na watu wasio na uelewa kuhusu mfumo wa uchaguzi wa Tanzania.

2. Daftari la Kudumu la Wapiga Kura halijaunganishwa na mfumo wowote wa Serikali au Taasisi binafsi kwa ajili ya kupigia kura.

3. Mfumo wa kupiga kura, kuhesabu kura na kutangaza matokeo hautumii mfumo wowote wa kielektroniki.

4. Utaratibu unaotumika ni wa kawaida (manual) katika hatua zote za kupiga kura, kuhesabu na kutangaza matokeo.

5. Baada ya kukamilika uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, vyama vya siasa vilikabidhiwa nakala za daftari linaloonesha idadi ya wapiga kura walioandikishwa katika kila kituo.

6. Mawakala wa vyama vya siasa hutumia daftari husika kumtambua mpiga kura anayefika kituoni kwa ajili ya kupiga kura.

7. Mchakato wa kupiga kura ni wa wazi:
  • Mpiga kura aliyeandikishwa hufika mwenyewe kituoni akiwa na kadi ya mpiga kura iliyotolewa na Tume.
  • Jina lake hutusomwa kwa sauti na msimamizi wa kituo, ili mawakala wa vyama wahakikishe jina lipo kwenye daftari.
  • Baada ya uhakiki, mpiga kura hupewa karatasi za kura na kuendelea na mchakato wa kupiga kura.
8. Kitambulisho cha Taifa (NIDA) hakitumiki kupigia kura. Kura hupigwa kwa kutumia kadi ya mpiga kura pekee iliyotolewa na Tume.

Wito kwa Wananchi na Wadau wa Uchaguzi: Kupuuza taarifa za uongo na upotoshaji zenye lengo la kusababisha taharuki.

Kufuatilia taarifa sahihi za Tume kupitia vyanzo rasmi pekee, zikiwemo:
  • Tovuti ya Tume: www.inec.go.tz
  • Kurasa rasmi za Tume kwenye mitandao ya kijamii.

Kumbuka: Uchaguzi Mkuu unatarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba 2025.

Imetolewa: 23 Agosti 2025
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)
Screenshot_20250822-212834_Chrome.jpg
 
Mlishatia mashaka baada ya kutangaza daftari la wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37. Wekeni hilo daftari online tuliakiki ili tuamini kati ya INEC na Polepole nani mkweli
 
Njia pekee itakayo warudishia imani wananchi ni kwa serikali kuruhusu vyombo huru binafsi( private investigators)kutoka nje ya nchi kufanya audit ya mifumo hiyo. Mteule yoyote wa raisi ambae pia ni mgombea wa CCM hawezi kuaminika Aslan.

INEC: KUHUSU UPOTOSHAJI WA KUUNGANISHWA KWA MFUMO WA UCHAGUZI NA MIFUMO MINGINE

Kumekuwepo na taarifa za uongo na upotoshaji zinazozagaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa:

Mfumo wa Data za Uchaguzi unaotumiwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) umeunganishwa na mfumo wa NIDA na Mfumo huo umeunganishwa na chama kimoja cha siasa, na kwamba zoezi la kupiga kura limekamilika tayari.

Tume inapenda kufafanua na kukanusha vikali taarifa hizo kutokana na sababu zifuatazo:
1. Taarifa hizo ni za uongo na upotoshaji, zikitolewa na watu wasio na uelewa kuhusu mfumo wa uchaguzi wa Tanzania.

2. Daftari la Kudumu la Wapiga Kura halijaunganishwa na mfumo wowote wa Serikali au Taasisi binafsi kwa ajili ya kupigia kura.

3. Mfumo wa kupiga kura, kuhesabu kura na kutangaza matokeo hautumii mfumo wowote wa kielektroniki.

4. Utaratibu unaotumika ni wa kawaida (manual) katika hatua zote za kupiga kura, kuhesabu na kutangaza matokeo.

5. Baada ya kukamilika uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, vyama vya siasa vilikabidhiwa nakala za daftari linaloonesha idadi ya wapiga kura walioandikishwa katika kila kituo.

6. Mawakala wa vyama vya siasa hutumia daftari husika kumtambua mpiga kura anayefika kituoni kwa ajili ya kupiga kura.

7. Mchakato wa kupiga kura ni wa wazi:
  • Mpiga kura aliyeandikishwa hufika mwenyewe kituoni akiwa na kadi ya mpiga kura iliyotolewa na Tume.
  • Jina lake hutusomwa kwa sauti na msimamizi wa kituo, ili mawakala wa vyama wahakikishe jina lipo kwenye daftari.
  • Baada ya uhakiki, mpiga kura hupewa karatasi za kura na kuendelea na mchakato wa kupiga kura.
8. Kitambulisho cha Taifa (NIDA) hakitumiki kupigia kura. Kura hupigwa kwa kutumia kadi ya mpiga kura pekee iliyotolewa na Tume.

Wito kwa Wananchi na Wadau wa Uchaguzi: Kupuuza taarifa za uongo na upotoshaji zenye lengo la kusababisha taharuki.

Kufuatilia taarifa sahihi za Tume kupitia vyanzo rasmi pekee, zikiwemo:
  • Tovuti ya Tume: www.inec.go.tz
  • Kurasa rasmi za Tume kwenye mitandao ya kijamii.

Kumbuka: Uchaguzi Mkuu unatarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba 2025.

Imetolewa: 23 Agosti 2025
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)
 
Baada ya matokeo ya vituoni nani ana jumuisha (bila mawakala wa vyama) na kutangaza matokeo ya uongo na kweli?
Haiwezekani watu zaidi ya mil 37 kupiga kura je za wasiopiga tunajuaje mifumo inawapigia watawala?
Mnatuona manyani😡
 
INEC: KUHUSU UPOTOSHAJI WA KUUNGANISHWA KWA MFUMO WA UCHAGUZI NA MIFUMO MINGINE

Kumekuwepo na taarifa za uongo na upotoshaji zinazozagaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa:

Mfumo wa Data za Uchaguzi unaotumiwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) umeunganishwa na mfumo wa NIDA na Mfumo huo umeunganishwa na chama kimoja cha siasa, na kwamba zoezi la kupiga kura limekamilika tayari.

Tume inapenda kufafanua na kukanusha vikali taarifa hizo kutokana na sababu zifuatazo:
1. Taarifa hizo ni za uongo na upotoshaji, zikitolewa na watu wasio na uelewa kuhusu mfumo wa uchaguzi wa Tanzania.

2. Daftari la Kudumu la Wapiga Kura halijaunganishwa na mfumo wowote wa Serikali au Taasisi binafsi kwa ajili ya kupigia kura.

3. Mfumo wa kupiga kura, kuhesabu kura na kutangaza matokeo hautumii mfumo wowote wa kielektroniki.

4. Utaratibu unaotumika ni wa kawaida (manual) katika hatua zote za kupiga kura, kuhesabu na kutangaza matokeo.

5. Baada ya kukamilika uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, vyama vya siasa vilikabidhiwa nakala za daftari linaloonesha idadi ya wapiga kura walioandikishwa katika kila kituo.

6. Mawakala wa vyama vya siasa hutumia daftari husika kumtambua mpiga kura anayefika kituoni kwa ajili ya kupiga kura.

7. Mchakato wa kupiga kura ni wa wazi:
  • Mpiga kura aliyeandikishwa hufika mwenyewe kituoni akiwa na kadi ya mpiga kura iliyotolewa na Tume.
  • Jina lake hutusomwa kwa sauti na msimamizi wa kituo, ili mawakala wa vyama wahakikishe jina lipo kwenye daftari.
  • Baada ya uhakiki, mpiga kura hupewa karatasi za kura na kuendelea na mchakato wa kupiga kura.
8. Kitambulisho cha Taifa (NIDA) hakitumiki kupigia kura. Kura hupigwa kwa kutumia kadi ya mpiga kura pekee iliyotolewa na Tume.

Wito kwa Wananchi na Wadau wa Uchaguzi: Kupuuza taarifa za uongo na upotoshaji zenye lengo la kusababisha taharuki.

Kufuatilia taarifa sahihi za Tume kupitia vyanzo rasmi pekee, zikiwemo:
  • Tovuti ya Tume: www.inec.go.tz
  • Kurasa rasmi za Tume kwenye mitandao ya kijamii.

Kumbuka: Uchaguzi Mkuu unatarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba 2025.

Imetolewa: 23 Agosti 2025
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)
Mbona hajasema kuwa wako tayari mfumo ukaguliwe na wakaguzi huru mbele ya wadau wa uchaguzi????

Hoja ya Polepole ni kuhusu lile Dude likaghuliwe na wataalamu huru. Hiyo ndo hoja ya Polepole.

Badala ya kujibu hoja wanarukaruka tu na kuwafanya wananchi ni mazwazwa.
 
INEC: KUHUSU UPOTOSHAJI WA KUUNGANISHWA KWA MFUMO WA UCHAGUZI NA MIFUMO MINGINE

Kumekuwepo na taarifa za uongo na upotoshaji zinazozagaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa:

Mfumo wa Data za Uchaguzi unaotumiwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) umeunganishwa na mfumo wa NIDA na Mfumo huo umeunganishwa na chama kimoja cha siasa, na kwamba zoezi la kupiga kura limekamilika tayari.

Tume inapenda kufafanua na kukanusha vikali taarifa hizo kutokana na sababu zifuatazo:
1. Taarifa hizo ni za uongo na upotoshaji, zikitolewa na watu wasio na uelewa kuhusu mfumo wa uchaguzi wa Tanzania.

2. Daftari la Kudumu la Wapiga Kura halijaunganishwa na mfumo wowote wa Serikali au Taasisi binafsi kwa ajili ya kupigia kura.

3. Mfumo wa kupiga kura, kuhesabu kura na kutangaza matokeo hautumii mfumo wowote wa kielektroniki.

4. Utaratibu unaotumika ni wa kawaida (manual) katika hatua zote za kupiga kura, kuhesabu na kutangaza matokeo.

5. Baada ya kukamilika uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, vyama vya siasa vilikabidhiwa nakala za daftari linaloonesha idadi ya wapiga kura walioandikishwa katika kila kituo.

6. Mawakala wa vyama vya siasa hutumia daftari husika kumtambua mpiga kura anayefika kituoni kwa ajili ya kupiga kura.

7. Mchakato wa kupiga kura ni wa wazi:
  • Mpiga kura aliyeandikishwa hufika mwenyewe kituoni akiwa na kadi ya mpiga kura iliyotolewa na Tume.
  • Jina lake hutusomwa kwa sauti na msimamizi wa kituo, ili mawakala wa vyama wahakikishe jina lipo kwenye daftari.
  • Baada ya uhakiki, mpiga kura hupewa karatasi za kura na kuendelea na mchakato wa kupiga kura.
8. Kitambulisho cha Taifa (NIDA) hakitumiki kupigia kura. Kura hupigwa kwa kutumia kadi ya mpiga kura pekee iliyotolewa na Tume.

Wito kwa Wananchi na Wadau wa Uchaguzi: Kupuuza taarifa za uongo na upotoshaji zenye lengo la kusababisha taharuki.

Kufuatilia taarifa sahihi za Tume kupitia vyanzo rasmi pekee, zikiwemo:
  • Tovuti ya Tume: www.inec.go.tz
  • Kurasa rasmi za Tume kwenye mitandao ya kijamii.

Kumbuka: Uchaguzi Mkuu unatarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba 2025.

Imetolewa: 23 Agosti 2025
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)
Maelezo marefu lakini hajajibu hoja ya Polepole. Hoja ni kuhusu kukagua DUDE lao la kuchakachulia kutumia wakaguzi huru wa mifumo
 
Back
Top Bottom