Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema mpaka sasa hakuna chama cha siasa ambacho kimewasilisha malalamiko juu ya kanuni za maadili ya uchaguzi, na kwamba kesho vyama vya siasa vitakuwa Dodoma kwa ajili ya kusaini kanuni hizo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma Pia: INEC: Chama kisichosaini kanuni za maadili ya uchaguzi, hakitashiri Uchaguzi