Binadamu bdo ni mkaidi, kila siku kila saa kila dakika watu wanafikiria jinsi ya kuingiza unga huko Indonesia,ukiona sehemu ambayo sheria ni kali ujue sembe ina thamani kubwa sana
Ila mi naona dunia nzima ingeanzisha kuwapiga risasi tu. Haya madawa yanaharibu sana watu, vijana wengi hupotea na kuharibika. Nchi kama Indonesia ndio zatakiwa, lazima tiwe na msimamo ili dunia ibaki sehemu nzuri. Tukiendekeza haki za binadamu dunia itapotea
Wewe tuondolee siasa unafahamu madawa ya kulevya yanaua wangapi duniani?toa uchafu wako lazima wauawe nenda kinondoni ndio utajua madawa yana athari gani.
Wewe ulitaka wapewe adhabu gani?ndiyo maana tanzania mnashindwa kukomesha rushwa,ufisadi kwa sababu ya watu wenye akili kama yako.Mbona china mafisadi wananyongwa sembuse wanaokuharibia wadogo zako kwa madawaNi taifa lenye idadi ya watu mil 252.8 lina ukubwa wa sq km 1,919,440 na lina idadi ya visiwa 17,508 ndo taifa lenye waislamu wengi kuliko lolote duniani likiwa na idadi ya 86% waislamu na wakristo 8.7%.
Leo hii katika taifa hilo wananyongwa raia 9 kutoka Brazil, Ghana, Nigeria, France na Australia. Wanauawa leo katika jela iliyopo katika kisiwa cha Nusambakapang kwa kupigwa risasi moyoni au kichwani, kosa lao ni kupatikana na madawa ya kulevya aina ya heroin na bangi.
Tayari majeneza yao yameshaandaliwa na ndugu zao wamepewa ruhusa ya kuwatembelea kabla hawajachinjwa kwa risasi, ndugu zao watakuwa nje ya gereza wakisubiri maiti zao baada ya kuwa wameuawa, katika mauaji hayo yupo mwanamke Veloso raia wa Philipines atakayeuawa pamoja na wenzake, mwanamke huyu alibebeshwa heroin bila kujua na ma drug dealers, wanae kila siku wanalia kumuona mama yao, kumuua mtu ambaye hajaua ni ukatili wa ajabu sana, wito umetolewa duniani kuitaka serikali ya Indonesia isitishe mauaji hayo lakini imegoma kabisa.
Huo ni unyama wa hali ya juu kabisa.
Ndiyo maana mnaona sawa tuu kuoana wanaume kwa wanaumeUnanitafuta wewe mbwa eti? Ungekuwa unanyongwa wewe au baba yako ungethubutu kusema hii topic ni uchafu?Pumbavu sana mwanaharamu wewe.
Unanitafuta wewe mbwa eti? Ungekuwa unanyongwa wewe au baba yako ungethubutu kusema hii topic ni uchafu?Pumbavu sana mwanaharamu wewe.
Lolowapi nadhani umemuelewa vibaya wiseboy, anamlilia huyo mama aliyebebeshwa bila ridhaa yake huku akiacha watoto wake.
Unanitafuta wewe mbwa eti? Ungekuwa unanyongwa wewe au baba yako ungethubutu kusema hii topic ni uchafu?Pumbavu sana mwanaharamu wewe.