Indian toilets

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438



Nilikiona hiki dukani, nilikumbuka vile vyoo vya ceramic tulivyotumia boarding schools. Indian toilet wengi hupenda kukiweka kama family toilet au communal toilet. Ukikijenga zingatia aging issues.

Kwa experience yangu wazee wengi wa 65+ hawawezi kuchuchumaa wakienda haja. Technology ilivvyoendelea siku hizi hata cancer ikiwahiwa inapona na HIV si tatizo tena kama unabuia njugu kila siku.

Maana yake aging population huko tuendako itakuwa kubwa. Sasa uwalete wazee kutoka kijijini kwa matibabu mjini. Kuwawekea Indian toilet ni kuwatesa.
 
Kuna watu na dini zao sasa hivi wanakuja kukushambulia
 
Mkuu Sky, si kwa wazee tu, hata kwa wagonjwa wa miguu ama majeruhi.
Ni vizuri kama ni kwako, zingatia kujenga vyumba vya vyoo zaidi ya kimoja ili vingine viwe ni vya kukaa ili kukidhi mahitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Sky, si kwa wazee tu, hata kwa wagonjwa wa miguu ama majeruhi.
Ni vizuri kama ni kwako, zingatia kujenga vyumba vya vyoo zaidi ya kimoja ili vingine viwe ni vya kukaa ili kukidhi mahitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki ni muhimu hata kwa choo cha nje. Ukipata msiba ndipo unapojua unuhimu wa choo cha nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…