Mbona Wahindi Bongo hawajiungi jeshini au polisi?!!!!
Ooops! Na mimi nimeuliza swali hili.Mamluki kama hawa safi wakichoshwa mara wanakurupuka na kurembea risasi ovyo,hivi kuna Watanzania wenye asili ya kihindi katika jeshi la polisi au JWTZ, Tanzania?
Walikuwepo zamani. Nadhani walihama baada ya Azimio la Arusha.Mbona Wahindi Bongo hawajiungi jeshini au polisi?!!!!
Hapa napata swali la kujiuliza, hivi ni kweli haya tunayoambiwa kuwa viongozi wanaoitwa "waaasisi wa misingi" ya taifa la Tanzania,(mm siijuwi ipi hiyo misingi), walifanya kazi kubwa kuondoa mambo ya ubaguzi wa kidini,ukabila, rangi n.k kama ni kweli...mbona hakuna uwakilishi walau wa kupishana katika sekta za ajira za kiserikali,hasa katika maeneo kama hayo ya jeshi,polisi..nk,?Walikuwepo zamani. Nadhani walihama baada ya Azimio la Arusha.
Hapa napata swali la kujiuliza, hivi ni kweli haya tunayoambiwa kuwa viongozi wanaoitwa "waaasisi wa misingi" ya taifa la Tanzania,(mm siijuwi ipi hiyo misingi), walifanya kazi kubwa kuondoa mambo ya ubaguzi wa kidini,ukabila, rangi n.k kama ni kweli...mbona hakuna uwakilishi walau wa kupishana katika sekta za ajira za kiserikali,hasa katika maeneo kama hayo ya jeshi,polisi..nk,?
Na kama kweli vitu kama ubaguzi wa asili ya mtu anapotoka havizingatiwi katika mambo hayo..kwanini watanzania wengine wanaitwa kuwa ni wenye asili ya pahala fulani,mfano utasikia "mtanzania mwenye asili ya kiasia" huu si ubaguzi au...?
Hmna jeshini ukiwa na asili hiyo wanakuchuja kwa sababu nyingine yoyote,tangu kikao cha ulinzi na usalama cha wilayaMamluki kama hawa safi wakichoshwa mara wanakurupuka na kurembea risasi ovyo,hivi kuna Watanzania wenye asili ya kihindi katika jeshi la polisi au JWTZ, Tanzania?
Enzi za Mwalimu hata wazungu walikuwemo jeshini, kumbuka vita vya Idd Amin. Sasa hivi wahindi wote ni matajiri na tumewapa sisi wenyewe.Mamluki kama hawa safi wakichoshwa mara wanakurupuka na kurembea risasi ovyo,hivi kuna Watanzania wenye asili ya kihindi katika jeshi la polisi au JWTZ, Tanzania?
Walikuwepo zamani. Nadhani walihama baada ya Azimio la Arusha.
Hoja ya kijinga. Mfumo wa ajira wa serikalini unafahamika. Mwombaji ndiye mwenye maamuzi ya kuomba au kutokuomba. Sasa unataka usawa utoke wapi?
Upuuzi tu!
Enzi za Mwalimu hata wazungu walikuwemo jeshini, kumbuka vita vya Idd Amin. Sasa hivi wahindi wote ni matajiri na tumewapa sisi wenyewe.
Sawa nakubali ujinga wangu...ndo maana nauliza nipate kujuwa...nikielewa ntakuwa si mjinga au vp...bw. Mwerevu...?Hoja ya kijinga. Mfumo wa ajira wa serikalini unafahamika. Mwombaji ndiye mwenye maamuzi ya kuomba au kutokuomba. Sasa unataka usawa utoke wapi?
Upuuzi tu!
Ushatembelea vijiji vyote vya Jamhuri ya Tanzania?Hawa wataki tu wenyewe kwani kazi za wako kimaslahi zaidi wako radhi wafanye biashara hata ndogo lakini sio kuwa chini ya mtu hasa mbongo pure.
Swali jingine la kujiuliza mbona hawa hawako vijijini?
Ushatembelea vijiji vyote vya Jamhuri ya Tanzania?
Sawa nakubali ujinga wangu...ndo maana nauliza nipate kujuwa...nikielewa ntakuwa si mjinga au vp...bw. Mwerevu...?
Haya ww mwerevu twambie ss wajinga,huo mfumo wa serikali unaoeleweka ndo upi mpaka tunakosa watu wa asili tofauti katika vyombo vya ulinzi vya dola tofauti na wenzetu walioainishwa hapo juu?