India

Ungekuwa unaweka picha moja kila siku ungepata comment za kutosha, ila hiyo ya hako kajamaa kanakotumia lap top kamenikosha inawezekana anacheki nyuzi za JF.
 
Hahaha.nimependa kuku amekunja 4 kwa raha zake
 
Mimi nimependa hiyo ya polisi.
 
Nami pia nimeipenda hiyo, Mengine hata hapa kwetu yapo hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…