Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 7,421
- 6,494
Mzozo kati ya mataifa hayo mawili yenye nguvu za nyuklia, India na Pakistan, unafikia kiwango kibaya sana baada ya India kuikatia maji ambayo ni mhimu sana katika nchi hiyo
Naibu Waziri Mkuu wa Pakistan anatangaza: tunapinga kabisa uamuzi wa India wa kusitisha mkataba wa maji na sisi tunalichukulia kama tangazo la vita.
India imezuia maji (mto wa Punjab) ambayo hutumiwa na Pakistan kwa kilimo.
Anasema "Mara nyingi hufanya hivyo, lakini hutatuliwa kwa mazungumzo".
Pia anasema "BJP ni chama cha siasa nchini India. Kiko madarakani. Wanafanya mambo kama hayo ili kucheza na hisia za watu wa India."
Mto Sindh pia umezuiwa. Pia anasema shambulio la kigaidi huko Kashmir lilifanywa na magaidi na halina uhusiano wowote na Pakistan.