India yaanzisha Wizara ya Furaha

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Katika kukabiliana na tatizo la wananchi wake kukosa furaha, amani na kutawaliwa na msongo wa mawazo, serkali ya India imeanzisha wizara ya furaha (Ministry of happiness) ambayo jukumu lake kubwa ni kuhakikisha wananchi wote wanakuwa na furaha na amani!

Kuundwa kwa wizara hiyo ni muendelezo wa wazo lililoanzishwa na jimbo la Mandya Pradesh ambapo furaha imepewa kipaumbele namba moja, kufuatia mauaji na vifo vya mara kwa mara katika jimbo hilo.

Miongoni mwa majukumu ya wizara hiyo ya furaha ni pamoja na kuwafundisha wananchi mafundisho ya kiroho, kuwafanya waishi maisha yasiyo na msongo (stress- free life) na pia kucheza mchezo wa Yoga ambao unaambatana na imani za kidini!

Maoni yangu:
Bongo tunahitaji sana wizara kama hii, maana sasa ni full stress!

==============

India to create a ministry of happiness

101181576_Indian_schoolchildren_participate_in_a_yoga_session%29_FOREIGN-large_trans++f7y1lzytB1DEvIVIXvqqKykj7wA5Xs3hrtiyXeOqfEY.jpg

Schoolchildren participate in International Yoga Day. Yoga will be one of 70 programmes intended to boost national happiness (Credit: AFP).

India's notoriously oversized bureaucracy has found a new way to expand - the country's first ministry of happiness, dedicated to "putting a smile on every face".

The new ministry will be created by the central state of Madhya Pradesh to "track our growth" in a manner based on Bhutan's concept of gross national happiness.

"The state will be made responsible for happiness and tolerance of its citizens and will rope in psychologists to counsel people on how to be always happy," said Shivraj Singh Chouhan, the state's chief minister.

More at: India to create a ministry of happiness
 
Vizuri. Mimi naamini kama kila mtoto mdogo walau kuanzia miaka nane au tisa atafundishwa tahajudi itasaidia sana kupunguza jamii iliyojaa hasira, chuki, kukata tamaa na kukosa amani muda mwingi. Wahindi naona wanarudi kwenye mafundisho yao ya asili. Wakikazania hili wata achieve goal yao.
 
Hii wizara ikianzishwa bongo nashauri waziri wake awe mh. Wasira aka Tyson ataimudu sana
 
True happiness is in Jesus Christ nothing else! "Njooni kwangu ninyi msumbukao na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha"; n.k. Hakuna kitabu kingine chochote chini ya Jua kilichoandika juu ya FURAHA zaidi ya Neno la Mungu. Saudia nao wana wizara ya dhambi ambayo kazi yake kubwa ni kukata wahalifu vichwa na wana bajeti ya kutosha kwa kazi hii "adhimu".
 
Back
Top Bottom