India wana ng'ombe 300,000,000

India wana ng'ombe 300,000,000

Niko India..Hawa ng'ombe huku wanaheshimika kuliko binadamu..
Wanazagaa kila mahali hadi barabarani unakuta amelala katikati magari yanawakwepa..naambiwa ukimgonga mnyama yeyote especially ng'ombe ni kesi kubwa sana..

Na ni marufuku kula nyama..
 
Back
Top Bottom