India na China wakinukisha, wanajeshi watatu wa India wauawa, dunia inatamani sana damu

Kila kitu na kipi?. U.S.A akimtaka mtu ampige kwa njia yoyote anampatia. Hasa palipo na maslahi yake au maslahi yake yakiguswa. Mfano ni kama Angola kabla ya kukaa sawa kulikuwa na vikundi viwili vinapigana,kimoja kikiweka masikani yake DRC,kingine kikiwa msituni Angola,vikundi vyote vikipigigania kuiongoza Angola. Unajua kitu gani kilikuwepo? Vikundi vyote vilikuwa vinafadhiriwa na mtu mmoja,U.S.A. kupiganisha huko ili anyakue mafuta na madini kirahisi. Rejea vita vinavyoendelea kila uchwao hapo DRC. Hapo yapo maslahi ya U.S.A

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Sasa sio kila sehemu US anaweza weka mkono.Vita nyingine yeye kushiriki ni mpaka naye aingize kichwa!
 
Au Marcos ni part ya military ya India wako vizuri sana ukitaja top ten militaries nadhani hawakosi mkuu. Pakstan na India wako vizuri pia kwa intelligence kwakuwa wamekaa eneo ambalo llina ugaidi mwingi.
India wapo position 4 nadhani.
 
Kapigana na nchi gani ya maana zaidi ya Pakistan na masikini wengine wanaomzunguka? Yani hao ndo kama ndugu zetu Kenya kwenye statistics za jeshi utawaogopa ila ukija uwanjani wanachakazwa hadi na wale wavaa makobazi wa somalia
Dunia ya leo nchi hazipigani ovyo labda zinapigana na magaidi na vikundi ya kimapinduzi. Tunajua uwezo wa kijeshi wa nchi husika kwa vifaa vya kijeshi walivyo navyo, ukubwa wa jeshi, intelligence system yao na operations walizofanya iwe ni za kigaidi au kuokoa mateka.
 
Haya tukikipiga na Kenya itakuaje?? Maana wanavifaa vingi kutuzidi.....na hata kwa dunia ya zamani muhindi alipigana na taifa lipi la maana zaidi tu ya tension za ndani ya nchi yake na majirani zake utopolo
Unahisi India kuwa ranked kuwa na military capabilities za juu ilikuwa bahati mbaya? Au walioirank ni mandezi?
 
Back
Top Bottom