India kupiga marufuku talaka za kiislam

India kupiga marufuku talaka za kiislam

Ndoa hailazimishwi mkishachokana no habar Nyingne
 
Talaka ni pale mapenzi yanapo katika. Ikiwa uhusiano haupo bali kuna kutoelewama watu huachana. Hayo ya sheria hayafanyi kurejesha mapenzi na mahaba.
Hawa hindus wana chuki tu na uislam hasa tangu aingie madarakani modi
Mara hakuna kula ngombe au kuchinja sababu za imani ya kihindu.
Ni siasa kali za modi
 
Back
Top Bottom