Independence minds | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Independence minds

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lyaule Kitundu, May 25, 2011.

 1. Lyaule Kitundu

  Lyaule Kitundu Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 25
  Nimekuwa nikivisit humu kama guest,now nimefikia uamuzi wa kujiregister humu kwa sababu zifuatazo..
  • Nimekuwa nikikasirishwa na maamuzi ya kuoneana huruma
  • Unyanyaswaji unaofanywa na vyombo vya dola
  Sioni sababu ya kuendelea kuwa kimya kwa yote yanayotokea ndani ya nchi hii

  kwa haya machache napenda kujitenga na chama chochote cha siasa na kinachofuata ni harakati binafsi, nazo zitajumuisha matumizi ya nguvu na akili zangu binafsi katika kupambana kwa ajili ya vizazi vijavyo vitakavyo ishi katika ardhi hii..

  kwa kuanza tu natangaza Uadui na Jeshi la Polisi.. na mapambano yangu yataanza na hawa,natanguliza pole kama kuna atakayedhurika na hadhma yangu, lakini napenda sema kuwa uvumilivu umenishinda..pole zaidi kwa ndugu na jamaa wa polisi ambao watakutana na hitma ya maamuzi haya.

  Asanteni nyote
  Lyaule Kitundu
   
Loading...