huyu mwandishi ameelezea mambo ya muhimu sana ,na uhakika jumuiya ya kimataifa imeshatambua maovu yaliyofanyika katika uchaguzi huu.
nafikiri ile hali ya kisiasa iliyotokea baada ya uchaguzi wa zanzibar 2005 na uchaguzi uliopita wa kenya imehamia Tanzania bara mpaka suluhisho la haki lipatikane
http://www.nytimes.com/2010/11/06/world/africa/06tanzania.html