incubators za kutotolea vifaranga vya kuku!

kabanda

New Member
Oct 20, 2012
2
1
nilisoma ktk habari za jf long kidogo............na nilona mjadala ulohusu mashine za kutotolea vifaranga ie incubators..,
sasa leo nimekuwa muuzaji wa hizi...na zinapatkana kwa oda ,bei ni tsh 500,000 kwa mayai 60 hadi 500 na zinazotumia umeme ni tsh 400,000 kwa siku 21 zilezile.............kwa wajasiriamali hasa wenye eneo mnaweza kutotolesha na kuuza vifaranga na wakubwa.

mwaweza nicheki 0655444413 au kabanda2012@gmail.com
 
yani ya mayai 60 ndio laki 5?au inayoweza kuchukua mayai 60 hadi mia 5 kwa laki 5??fafanua kidogo hapo mkuu.
 
Back
Top Bottom