Wadau habari!nauza machine ya kutotoa vifaranga (INCUBATOR) toka U.K, yenye uwezo wa kutotolesha vifaranga 24 kwa wakati mmoja na bei ni shilingi laki tatu 300,000/= !kwa mwenye kuihitaji naomba ani PM
Sasa mkuu ni vema ukitujulisha kwamba uko mkoa gani ili kuona urahisi wa kuipata? nyongeza vp inatumia umeme au mafuta ya taa ? na kama iko katika hali nzuri au itahitaji matengenezo.