Incredible of Incredible !

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,743
Tanganyika (now Tanzania) is the cradle of mankind. In 1959 in the north of the country, in the Olduvai Gorge, Dr. Louis Leakey discovered the fossilized remains of Zinjanthropus calculated to be 1.75 million years old, the forerunner of modern man. South of Olduvai Gorge, a trail of hominid foot prints 3,600,000 years ago were discovered at Laoteli only 30 kilometers from Olduvai Gorge.

Tanzania is home of about 126 African tribes, the majority being of Bantu origin who migrated into Tanzania from West and Central Africa. While in Tanzania, they assimilated most of the people of Khoisan and Cushitic origin who had been there since the 3rd and 1st centuries BC respectively. Very few groups of people of these origins (Khoisan and Cushitic) remain in Tanzania today.

Besides peoples of Bantu, Cushitic and Khoisan origin, there are also groups of Nilotic origin the most famous being the Maasai. These are said to have settle in Tanzania in the 1st century AD. On the other hand, the Ngoni tribe, fleeing from "mfecane" (the times of troubles) brought about by the Zulu expansion under their famous King, Shaka, entered southwestern Tanzania in 1840 and defeated the Fipa who moved to northwestern Tanzania.
Sasa unaweza kupata picha wewe unaweza kuwa unatoka wapi ??
 
Kuna wakati nilisikia kuwa somo la historia, nadhani na jeografia liliondolewa katika syllabus Tanzania. Kitu hiki kilinisikitisha sana maana kama watoto wetu hawajui wanatoka wapi, ni vigumu kujua hata wanakoelekea. Sehemu hiyo ya historia uliyoitaja hapo juu, wakati ule ambapo nilikuwa nasoma shule, mwanafunzi yeyote ambaye amefika kidato cha nne au cha sita (sikumbuki vizuri) alikuwa anatakiwa awe anaijua. Nilipokuwa form six niliendelea na historia na nilijifunza historia ya Ulaya. Hivi leo inakuwa rahisi kwangu kuweza ku analyse matukio mengi yanayotokea duniani, kwa vile kama unajua historia, utajua chanzo cha matukio. Kwa mfano tu, kama umesoma vizuri historia ya Pemba na Unguja, utaelewa kwa undani mienendo ya siasa za sehemu hizo na kweza kutoa sababu za matukio hayo. Vilevile Zimbabwe pia, utaelewa jeuri ya Mugabe inatoka wapi.

Somo la jiografia lilituwezesha kujua nchi yetu vizuri. Nakumbuka nilipokuwa nasoma shule ya msingi, tulitengeneza ramani kubwa ya Tanzania ardhini ikionyesha kila mkoa, wilaya, miji mikubwa, maziwa na mito. Vilevile tulitengeneza ramani ya dunia kuonyesha mabara mbalimbali. Sikuhizi vijana wetu hawajui vizuri hata nchi yao. Niliwahi kumuuliza kijana mmoja kuwa Mafia ipo wapi, akaniambia ipo Italy!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom