Incharge mwenyewe

Incharge mwenyewe

Ng'ombe ni mnyama mpole sana na hana matata kiasi anaweza kuchungwa hata na mtoto mdogo tu. Sasa huwa nashangaa sijui wachunga ng'ombe huwa wanawachapa viboko kwasababu gani hasa, tena mbaya zaidi ng'ombe wanaochelewesha msafara ni wa mbele akini mchungaji anawachapa wa nyuma!! uonevu ulioje. Ndo maana viongozi wanaotokana na wachungaji wa ng'ombe huwa wanashangaza sana ulimwengu
 
Back
Top Bottom