Maisha yalikuwa mazuri sana. Kijana tokea umri mdogo anajifunza ujasiri.nimevutiwa na macho ya mpiga picha,
hayo maisha yalikua mazuri sana...africa at its finnest.
hizo picha zinanipa taswira ya hadithi nilizosimuliwa na bibi zamani na baadhi ya vitabu nilivyosoma kuhusu maisha ya kiafrica ya enzi zile kabla ya ukoloni.
Africa my mamaland.[emoji4]
Kabisa Mkuu.Maisha hayo hakuna stress yani.
acha tu mkuu awamu hii tumekosea sanahALAFU MLIVYO MABWEGE MKAWAPA URAISI NA MNYOOKE TU.
Acha ukorofi .mkuu daahNasubiri comment ya baba swalehe hapa
Siyo hasira tu na roho mbaya pia.Watu kama hawa baadae wakija kuwa rais wanakuwa na hasira wanahisi kila tajir ni mwiz
Uganda pia. Kaskazini, M7 mwenyewe ana ng'ombe wake wengi sana kama hawa.