Kukaja Kununu
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 1,077
- 1,212
Ukitazama itakuwa vema mkuu....Tuandikie yaliyomo kwenye video
Natumia free basics mkuuUkitazama itakuwa vema mkuu....
Mwenyewe naingiaga YouTube siangalii videos ila nasoma tu comments mpaka ntaielewe video husika kuliko hata waloiangalia.Kwa usawa huu tutolee wapi MB Za Kucheki video yako maisha magumu babu