Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,161
- 48,425
Kuna watu wanashangazwa na harakati za baadhi ya wana CCM kutumia wanaojiita waumini wa Dhehebu la kikatoliki, kupambana na Padri. Charles Kitima.
Kilichoko nyuma ya harakati hizo si vita dhidi ya Kitima bali ni vita dhidi ya CHADEMA.
CCM kwa sasa ni heri wabakie na wanyonya damu kuliko CHADEMA kuendelea kuwepo.
Mbinu za CCM ni za kizamani sana zama za ujima