Jana usiku nilikua nasikiliza kituko kimoja cha redio hapa nchini nilishangazwa na jambo hili,
Spika moja ya kushoto nilipata matangazo ya redio kamakawaida ila Spika ya kulia nilipata matangazo ya kituo cha television ya Sky news .ndipo nilipojiuliza inawezekaneje?
Nipanueni uelewa Jamani
Ulikuwa unasikilizia kwny kifaa gani? kama ni kisimbuzi ni jambo la kawaida, ni kubadili audio setting kwenye channel husika, mbn inawezekana kuangalia Star tv(picha) huku sauti unatoka Kiss FM!! unabadili audio channel unapata ya tv husika.